Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]
Acheni kumsumbua Mungu ndani ya vichwa vyetu aliweka ubongo au undogo wenzentu wanapambana na wanafanikiwa unafikiri wao hawana Mungu
 
Linapokuja issue ya link na chadema, huwa unakuwa irritated! Una nini na familia ya chedema?
Pamoja na umahiri wake woote, ila chadema inamfanya aonekane alivyo katika mambo asiyoyapenda! Kesho tukisema naye anafurahia kufa kwa wengine asiowaelewa atakataa...ila atalalama watokeapo wengine waseme juu ya kufa kwa awapendao yeye. okay, kumbe naye ni binadamu kama wengine tu ila nahisi mfumo wa chadema unamsumbua kuuelewa ndo maana anakuwa irritated hivi.
 
Back
Top Bottom