Afadhali useme, maana tumechoka [emoji3062]
Jamani Watanzania tumwendee Mwenye Enzi Mungu atusaidie kuhusu hawa watu wanao fuja pesa za Watanzania!
Tumlilie Mola wetu!
Kweli nawaambia Mwenye Enzi Mungu ana tenda.
Tuiombee nchi yetu jamani[emoji24][emoji24][emoji24] sio kila siku unaombea family yako tu na nchi una I sahau!
Tufunge na kuomba kwani Mwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana sana![emoji24][emoji24]