Lema: January Makamba, Wewe ni waziri siyo first born wa Rais Samia

Kuongea na nnape nauye ni makosa? Ewe mchungaji wa kaskazini GODBLESS LEMA unavyofanya ndivyo unajishushia heshima, sema una bahati mama huyu ni mpole, angelikua Magufuli aise aise, basi niishie hapo.
Kwanini unapendelea kuishi maisha ya kusurubu binadam mwenzio...hivi ujui kua sote tuna damu,roho nk?
 
Yani kuvaa gwanda msibani ni kosa? Hivi makamba ni nani kwenye huo msiba? Kama anaumia nivyema akazikwe na Membe!
 
Huyu atakuwa amechoka na maisha, anataka kui test sumu kwa kuionja! Sasa hivi tutamsahau!
P
Kwa hiyo wewe na yule anayejiita kigogo kule Twitter mnakubaliana kuwa huyo mtu na hatari eeh? Kwamba huwa anaondoa watu duniani!
Ok, tumekuelewa na tutamtaarifu ajihadhari
 
Amsha amsha amshaaa popoo... Tumesinzia mnoo..🤣
 
january anatakiwa kujua kuwa anabebwa sana lkn kichwani sio mzuri kabisa.
Hana kitu cha kujisifia kuwa amekifanya zaidi ya kuwa 'mpiga deal'
Hamna kitu pale. Buyu tu lile. Anasafiria nyota ya baba yake kuwa mwanasiasa maarufu.
 
Hata akimdhuru haina shida hana umuhimu zaidi ya kutuletea shida ya umeme tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…