Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako.

Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali na mbunge wa Bariadi mkoani Simiyu, Pia Amewahi kuwa mwenyekiti wa Bunge la JMT. Chenge ni msomi na nguli wa Sheria. Anafaa kuwa Spika msomi mwenye uelewa wa Sheria za nchi.

Chadema chama kwani Cha siasa Cha kukiamini?

Nilimsikiliza lissu juzi huko space, nilichefukwa. Mtu mwenye hadhi Kama ile hajui kutumia lugha nzuri.

Kama wapo vile wasahau kutawala Tanzania
 
Umoja, Upendo na mshikamano ni njia Bora pekee ya kujenga taifa Bora.

Nguvu kubwa iongezwe kwenye Uhuru wa watu, Utawala wa Sheria, Demokrasia na siasa safi.

Chadema wao hawataki wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao wakati hata wabunge wawili hawana.
 
Chadema chama kwani Cha siasa Cha kukiamini?

Nilimsikiliza lissu juzi huko space, nilichefukwa. Mtu mwenye hadhi Kama ile hajui kutumia lugha nzuri.

Kama wapo vile wasahau kutawala Tanzania
Kama tumewahi kuwa na rais ambaye hawezi kutumia lugha vizr unashangaa nini kwa raia wa kawaida kutotumia lugha vizuri.. kaa kwa kutulia
 
Mkuu weka ushahidi maana mimi nina muda mrefu hapa jukwaani lakini si kumbuki hili jambo!

Halafu kuna vitisho na kukataa hoja za mtu pia sio kila anayemtisha mtu humu basi anaweza kumdhuru!
 
Chadema wenzake kina nani, hakuna mtu anaejielewa anaweza kuwatafutia CCM mgombea, hiyo ni kazi yao na waifanye peke yao.

Chadema hawawezi kuwashauri CCM wamchague nani ili kesho akianza kufanya hovyo kwenye nafasi yake wawe huru kumpinga, sio wajifunge midomo kwa kuwekewa chaguo lao na CCM.
 
Chadema wanawapangia CCM mgombea au mtu wa kuongoza? Rekebisha hapo hao wenzake akina nan.
 
Mkuu weka ushahidi maana mimi nina muda mrefu hapa jukwaani lakini si kumbuki hili jambo!

Halafu kuna vitisho na kukataa hoja za mtu pia sio kila anayemtisha mtu humu basi anaweza kumdhuru!
Mkuu labda uwe mgeni,hiyo id imejiunga humu 2011.

Sasa jiulize kwa nini taarifa zake za nyuma zote amefuta na kuacha za kuanzia mwaka jana tu?!!

Kwa sababu zipo threads zake zilikua za vitisho na mashambulio dhidi ya Saanane!!
 
Chadema chama kwani Cha siasa Cha kukiamini?

Nilimsikiliza lissu juzi huko space, nilichefukwa. Mtu mwenye hadhi Kama ile hajui kutumia lugha nzuri.

Kama wapo vile wasahau kutawala Tanzania

CHADEMA hawana hamu ya kutawala Tanzania Bali Wana hamu ya kuiongoza Tanzania.
 
Chadema ni vema wawe na msimamo wa kujiweka kando kabisa na masuala ya bunge maana ni kuinajisi demokrasia kuongelea bunge lililotokana na wizi wa kura
 
CHADEMA haikutaka kuwa na mbunge, ni CCM walilazimisha. Ndio maana walikataa kuteua viti maalum mpaka serikali ikaingilia na kuteua kwa lazima, hadi watu waliokuwa mahabusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…