Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

Lema, kama hautaki Chenge awe Spika CHADEMA wenzako wanamtaka, acha kuwaburuza

Umoja, Upendo na mshikamano ni njia Bora pekee ya kujenga taifa Bora.

Nguvu kubwa iongezwe kwenye Uhuru wa watu, Utawala wa Sheria, Demokrasia na siasa safi.

Chadema wao hawataki wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao wakati hata wabunge wawili hawana.
Unatuhumiwa kupotea kwa Ben Saanane, jitetee!
 
Chenge yule aliyetuibia pesa zetu akaenda kuficha kule ulaya au Chenge mwingine. Watanzania ni wepesi sana kusahau, yaani leo tu wanampigia debe mwizi. It's very amazing 😍😍😍
 
Pengine ni strategy kuwapumbaza wahusika waingie mkenge wafanye usajili boko baadae liwe chaka la kupitia…. Siasa ni sanaa pia
 
Mkuu weka ushahidi maana mimi nina muda mrefu hapa jukwaani lakini si kumbuki hili jambo!

Halafu kuna vitisho na kukataa hoja za mtu pia sio kila anayemtisha mtu humu basi anaweza kumdhuru!
Ni kweli mkuu aweke ushahidi make Hizo ni kma xtor za kwenye kanga, humu mkwara tunapigana Sana wazi wazi ni kitu cha kawaida
 
Mda si mrefu huyo Msigwa ataomba radhi kwa nabii Lema, asipofanya hivyo ajiandae kufa... chezea nabii lema wewe.
 
Mkuu labda uwe mgeni,hiyo id View attachment 2079297 imejiunga humu 2011.

Sasa jiulize kwa nini taarifa zake za nyuma zote amefuta na kuacha za kuanzia mwaka jana tu?!!

Kwa sababu zipo threads zake zilikua za vitisho na mashambulio dhidi ya Saanane!!
Mbna profile yake inaoneshwa amekuwa active muda wte akipata anaandika Nyuzi kma kawaida. Hebu nenda kwenye profile yke
 
Mbna profile yake inaoneshwa amekuwa active muda wte akipata anaandika Nyuzi kma kawaida. Hebu nenda kwenye profile

Itoshe tu kusema mimi huyo bwana nimemsoma siku nyingi sana,hata enzi hizo akiandika kuhusu Saanane nilisoma.

Sasa kwenye profile yake kapitie kama utakuta maandiko ya kuanzia 2016.

Yapo mashambulizi wazi wazi aliyakua akiyaelekeza kwa Saanane kipindi hicho.
 
Lkn yapo mpka ya 2017- 2022 nimeyaona, Ila umeshaweka hola ngja tutamsikia mwenyewe
 
Mkuu labda uwe mgeni,hiyo id View attachment 2079297 imejiunga humu 2011.

Sasa jiulize kwa nini taarifa zake za nyuma zote amefuta na kuacha za kuanzia mwaka jana tu?!!

Kwa sababu zipo threads zake zilikua za vitisho na mashambulio dhidi ya Saanane!!
Wewe punguani kweli mimi nimefuta kitu gani mabandiko yangu yote yapo JF watu wanakushamgaa unavyoripoka
 
Ajabu na aibu kubwa hii...yaani mtu aliepigiwa kelele kwa kura pesa zetu,kodi zetu kupitia Escrow leo wezi wale wale anampigia chepuo Mtu aliesema kua awezi kukamatwa wala kufungwa ata kama ameiba..Foolish
 
Bavicha bana yaani ukipingana nayo mtazamo Basi unawekwa kwenye list ya kumua Sanane
 
Chadema ni vema wawe na msimamo wa kujiweka kando kabisa na masuala ya bunge maana ni kuinajisi demokrasia kuongelea bunge lililotokana na wizi wa kura
Tangu 1992 - 2022 miaka 30 CHADEMA imekuwa na Wenyekiti wangapi?
 
Wanaukumbi.

Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako.

Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali na mbunge wa Bariadi mkoani Simiyu, Pia Amewahi kuwa mwenyekiti wa Bunge la JMT. Chenge ni msomi na nguli wa Sheria. Anafaa kuwa Spika msomi mwenye uelewa wa Sheria za nchi.

Lema yuko sahihi. Chenge ni mbadhirifu na in a way akikubali huko nyuma kwa kuwa wazi anamiliki visenti kadhaa kwenye benki nje ya nchi.

Kama mwajiliwa wa serikali maisha yake yote, angekuwa ni mwaminifu angetueleza hivyo visenti alivipatapataje kwa mshahara wa Nyerere, Mwinyi au Mkapa. Angesema kama aliwahi shida LOTTO jackpot.....!!
 
Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo vuvuzela nalo likafuta tweet. [emoji16]
Msigwa alifuta kauli yake, wewe imekuuma nini si umuunge mkono wewe? Au mpaka Chadema wamuunge mkono ndo aonekane anafaa?
 
Umoja, Upendo na mshikamano ni njia Bora pekee ya kujenga taifa Bora.

Nguvu kubwa iongezwe kwenye Uhuru wa watu, Utawala wa Sheria, Demokrasia na siasa safi.

Chadema wao hawataki wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao wakati hata wabunge wawili hawana.
Sasa mbona kila siku mnawaongelea wao Chadema, kwani chauma au act hamuwaoni?
 
CHADEMA kutoka kuwa na wabunge takribani 150 Bungeni, madiwani, ma - Mayor, nguvu ya kusimamia mwenendo wa siasa nchini hadi kuwa sehemu ya Team Space kupiga Porojo bado mnajiona ni chama chenye ushawishi nchini?
Kaeni chini mtafakari kwa kina, la sivyo 2025 itakuwa Historia.
 
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Peter Msigwa amesema mtu pekee anayestahili kuwa Spika wa bunge la JMT kwa sasa ni Bw. Andrew Chenge “Mzee wa Vijisenti”.
 
Back
Top Bottom