Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #41
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO: 🧐Chadema wanawapangia CCM mgombea au mtu wa kuongoza? Rekebisha hapo hao wenzake akina nan.
Kinaendeshwa kama Kikundi cha familia kwa takribani miaka 30.
Kina Mwenyekiti wa Kudumu.
MAENDELEO: takribani miaka 30 kimeshindwa hata kujenga Ofisi za Makao Makuu (HeadQuarters) kinapangisha uchochoroni mtaa wa Ufipa.
😁