Unatuhumiwa kupotea kwa Ben Saanane, jitetee!Umoja, Upendo na mshikamano ni njia Bora pekee ya kujenga taifa Bora.
Nguvu kubwa iongezwe kwenye Uhuru wa watu, Utawala wa Sheria, Demokrasia na siasa safi.
Chadema wao hawataki wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao wakati hata wabunge wawili hawana.
Ni ling'ombe kumbe na li Msigwa!Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo vuvuzela nalo likafuta tweet. [emoji16]
Ni kweli mkuu aweke ushahidi make Hizo ni kma xtor za kwenye kanga, humu mkwara tunapigana Sana wazi wazi ni kitu cha kawaidaMkuu weka ushahidi maana mimi nina muda mrefu hapa jukwaani lakini si kumbuki hili jambo!
Halafu kuna vitisho na kukataa hoja za mtu pia sio kila anayemtisha mtu humu basi anaweza kumdhuru!
Mbna profile yake inaoneshwa amekuwa active muda wte akipata anaandika Nyuzi kma kawaida. Hebu nenda kwenye profile ykeMkuu labda uwe mgeni,hiyo id View attachment 2079297 imejiunga humu 2011.
Sasa jiulize kwa nini taarifa zake za nyuma zote amefuta na kuacha za kuanzia mwaka jana tu?!!
Kwa sababu zipo threads zake zilikua za vitisho na mashambulio dhidi ya Saanane!!
Mbna profile yake inaoneshwa amekuwa active muda wte akipata anaandika Nyuzi kma kawaida. Hebu nenda kwenye profile
Lkn yapo mpka ya 2017- 2022 nimeyaona, Ila umeshaweka hola ngja tutamsikia mwenyeweItoshe tu kusema mimi huyo bwana nimemsoma siku nyingi sana,hata enzi hizo akiandika kuhusu Saanane nilisoma.
Sasa kwenye profile yake kapitie kama utakuta maandiko ya kuanzia 2016.
Yapo mashambulizi wazi wazi aliyakua akiyaelekeza kwa Saanane kipindi hicho.
Wewe punguani kweli mimi nimefuta kitu gani mabandiko yangu yote yapo JF watu wanakushamgaa unavyoripokaMkuu labda uwe mgeni,hiyo id View attachment 2079297 imejiunga humu 2011.
Sasa jiulize kwa nini taarifa zake za nyuma zote amefuta na kuacha za kuanzia mwaka jana tu?!!
Kwa sababu zipo threads zake zilikua za vitisho na mashambulio dhidi ya Saanane!!
Lema yuko sahihi. Chenge ni mbadhirifu na in a way akikubali huko nyuma kwa kuwa wazi anamiliki visenti kadhaa kwenye benki nje ya nchi.Wanaukumbi.
Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo anamuogopa Lema kuhofia kufukuzwa Chadema naye akafute post yake Lema, kila siku unapiga kelele kwenye kijiwe chenu cha Space unataka watu wawe huru kisha wewe huyo huyo unataka watu wafuate fikra zako.
Bw. Andrew John Chenge aliyekuwa mwanasheria mkuu wa serikali na mbunge wa Bariadi mkoani Simiyu, Pia Amewahi kuwa mwenyekiti wa Bunge la JMT. Chenge ni msomi na nguli wa Sheria. Anafaa kuwa Spika msomi mwenye uelewa wa Sheria za nchi.
Msigwa alifuta kauli yake, wewe imekuuma nini si umuunge mkono wewe? Au mpaka Chadema wamuunge mkono ndo aonekane anafaa?Msigwa alipigwa mkwara na Lema “Futa” lilivyo vuvuzela nalo likafuta tweet. [emoji16]
Sasa mbona kila siku mnawaongelea wao Chadema, kwani chauma au act hamuwaoni?Umoja, Upendo na mshikamano ni njia Bora pekee ya kujenga taifa Bora.
Nguvu kubwa iongezwe kwenye Uhuru wa watu, Utawala wa Sheria, Demokrasia na siasa safi.
Chadema wao hawataki wanajiona wao ndiyo wapinzani peke yao wakati hata wabunge wawili hawana.