CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO: π§Chadema wanawapangia CCM mgombea au mtu wa kuongoza? Rekebisha hapo hao wenzake akina nan.
Nye mnaua watu, mlet Ben pleaseChadema wanahangaika sana!
That's nonsense weka evidence, familia ipi inaendesha CDM? Pia kuna uchochoro upi hapo ufipa? Nnavyojua CDM ipo mtaa wa ufipa na hakuna kichochoro. Pia pale hua kuna jengo la ghorofa moja je lile ni jengo la chauma ama??CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO: π§
Kinaendeshwa kama Kikundi cha familia kwa takribani miaka 30.
Kina Mwenyekiti wa Kudumu.
MAENDELEO: takribani miaka 30 kimeshindwa hata kujenga Ofisi za Makao Makuu (HeadQuarters) kinapangisha uchochoroni mtaa wa Ufipa.
π
Wewe punguani kweli unataka evidence ipi? Mzee mtei unamjua? Unajua wana uhusiano gani na Mbowe? Chadema pale Ufipa wamepanga room mbili ndiyo ofisi ya Chadema Makao Makuu.That's nonsense weka evidence, familia ipi inaendesha CDM? Pia kuna uchochoro upi hapo ufipa? Nnavyojua CDM ipo mtaa wa ufipa na hakuna kichochoro. Pia pale hua kuna jengo la ghorofa moja je lile ni jengo la chauma ama??
Hawajui wanachokihitaji. Bahati mbaya kuna uburuzwaji mkubwa sana huko.Chadema wanataka Katiba npya cha ajabu ndani ya chama chao hamna Uhuru kujieleza?
Acha kasiriko na tusi, hujajibu swali langu! Halaf nnachokiona kwako ni vile vijamaa vya kushinda kweny vijiwe vya kahawa na kujazana ujinga. Eti Room mbili ππ acha kushinda kweny vijiwe vya kunywa unafiki!!Wewe punguani kweli unataka evidence ipi? Mzee mtei unamjua? Unajua wana uhusiano gani na Mbowe? Chadema pale Ufipa wamepanga room mbili ndiyo ofisi ya Chadema Makao Makuu.
CCM hawahangaiki?Chadema wanahangaika sana!