PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii project ina pesa nyingi, waachane wanaoiingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili. Kuna watu wanaletwa mbele kama bidhaa hawajui kama wanageuzwa bidhaa. Bungeni inajulikana kama Pandisha Presha. Kuna watu wanatajirika kupitia mradi huu na wengine ni bidhaa tu. Wakijua watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitan yoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani.

FB_IMG_17440496015692807.jpg
 
Unajua mtu mwenye njaa ukimwambia chochote yeye anakusikiliza maana akili yake yote inakuwa tumboni, anakuwa anafikiri nini na namna yakutatua shida yake ya njaa
 
G55 wameweka wazi hoja zao. Dikteta na genge lake badala ya kutoa majibu, wanakuja na ngonjera za project. Watoe majawabu ya hoja za G55 wawache kuwatisha.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.

"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.

"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.

Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.

View attachment 3295516
Lema ni tapeli tu la kisiasa mpumbavu tu.Hoja za G55 hazijabiwa
 
G55 wameweka wazi hoja zao. Dikteta na genge lake badala ya kutoa majibu, wanakuja na ngonjera za project. Watoe majawabu ya hoja za G55 wawache kuwatisha.
Wanashambulia watu badala ya hoja.Hoja zimewekwa mezani machizi wanakwepa kuzijibu
 
Mbowe asingeachia chama kwa sasa

Kaacha chama kwa watu wasiojielewa,Bora mnyika angekua Mwenyekiti
 
Huyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.

Amandla....
Hoja gani ? Neno "No election" linahitaji ufafanuzi na hakuna uchaguzi? Kumbe wajinga mko wengi
 
Hoja gani ? Neno "No election" linahitaji ufafanuzi na hakuna uchaguzi? Kumbe wajinga mko wengi
Miezi 7 uliokuwa JF ndio inakufanya ujione Great Thinker? Nakuingiza kwenye ignore list ili usinisumbue. Kwa heri.

Amandla...
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.

"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.

"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.

Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.

View attachment 3295516
Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
 
Yule mchaga john mrema anaonesha wazi Kala chupa la asali toka upande wa pili
 
Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Toka lini chawa akaionea huruma cdm?
Ujinga ni kuwa chawa, jitambue
 
Back
Top Bottom