PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hapo ndipo mnakosea. Badala ya kujipigania mnangojea mtu aje awakomboe!

Amandla...
Hivi uhuru wa Tanzania walileta watu gani,kama siyo nyerere ndo maana anaitwa baba wa taifa?
Mimi binafsi nipo nyuma ya hawa viongozi mahili niliowataja hapo juu,nawe nakushauri iunge mkono NO REFORMS,NO ELECTION.
 
Mbowe alikuwa/ana inborn respect, charisma, high intuition, logical, piloophical embede in him, integrity and many more atributes of a good leader.. Lisu ni VURUMAI MTU, kuropoka, kujiona kujua kuliko wengine, hana charisma ya uongozi... anafaa kuhamasisha vurugu na si uongozi. But LISU IS INTELLIGENT upstairs!..ACADEMICALLY

Hadi isikike milio yote. Na Bado!

Gmvy_y4XsAAn4lO.jpeg

Lissu na ashikilie hapo hapo.
 
Na Lissu, Lema, Heche hawakunufaika wakati nao walikuwa viongozi wa juu wa CDM wakati wa Mbowe?

AmaFafanua kunufaika kivipi?
Fafanua kunufaika kivipi?
Heche anaeleza hadharani alivyokuwa analipwa 12M akiwa mbunge,
huku ni kunufaika kihalali.
 
Kwani ndugu na wewe g55 mwenzangu?
Hapana. Hàpana. Hapana. Chadema ndiyo chama changi lakini Lisu alinikatisha tamaa alovyotafuta " ukubwa" kwa kumbagaza Mbowe kwa kila uongo wa ubaya. Nikamuona Lisu hafai kuniongoza. Nikaachana na Chadema. Lakini nabaki mwanachama idle!
 
Kwa akili yako ilivyo unamuona lema ana akili kubwa?
Akili ndogo ni yako ambae unaenda kuandamanishwa na mtu ambae kaacha familia yake nje kuja kuandamanisha nyie wanyonge

Mtapigwa kipigo cha mbwa koko mpk mchakae,yeye akimbilie Canada tena
Hizo propaganda hazifanyi kazi tena
 
Hapana. Hàpana. Hapana. Chadema ndiyo chama changi lakini Lisu alinikatisha tamaa alovyotafuta " ukubwa" kwa kumbagaza Mbowe kwa kila uongo wa ubaya. Nikamuona Lisu hafai kuniongoza. Nikaachana na Chadema. Lakini nabaki mwanachama idle!
ccm bado wanapokea wanachama
 
Hivi uhuru wa Tanzania walileta watu gani,kama siyo nyerere ndo maana anaitwa baba wa taifa?
Mimi binafsi nipo nyuma ya hawa viongozi mahili niliowataja hapo juu,nawe nakushauri iunge mkono NO REFORMS,NO ELECTION.
Nyerere hakuleta uhuru. Akishirikiana na wenzake wakina Sykes, Bibi Titi, Kambona, Munanka, Kawawa na wengine kibao aliwaongoza watanganyika katika kudai uhuru. Utayari wa watanganyika kuungana katika mapambano hayo ndio ulileta uhuru.

Mpaka sasa hivi Watanzania hawajaonyesha utayari wowote wa kudai mabadiliko.

Siwezi kujiunga na watu wasiotaka demokrasia, wasio heshimu wenzao ambao wanatofautiana na wanaopenda siasa za kuchafuana.

Amandla...
 
mawaaazoo-pic.jpg
kibao.jpg
Deusdedith-Soka-e1724914476663.jpg

Hatuwezi kuchezea Damu za Watanzania kwa Siasa za udalali na ruzuku.
 
Nyerere hakuleta uhuru. Akishirikiana na wenzake wakina Sykes, Bibi Titi, Kambona, Munanka, Kawawa na wengine kibao aliwaongoza watanganyika katika kudai uhuru. Utayari wa watanganyika kuungana katika mapambano hayo ndio ulileta uhuru.

Mpaka sasa hivi Watanzania hawajaonyesha utayari wowote wa kudai mabadiliko.

Siwezi kujiunga na watu wasiotaka demokrasia, wasio heshimu wenzao ambao wanatofautiana na wanaopenda siasa za kuchafuana.

Amandla...
Una tofauti gani,na watumwa waliombeba mwarabu kutoka kigoma hadi bagamoyo,kwa uaminifu.
wakichoka wakatembea pole pole anawaamuru wamshushe,anawapiga viboko anawaambia wambebe tena na waongeze mwendo,na walifanya hivyo na kumfikisha aendako kwa uaminifu.
Wewe na elimu yako unatumikia mabwenyenye? Endelea,sisi tutafanya kwa ajili yako.
 
Asante kwa kuchukua muda kunielimisha. Ila hii itakuwa mara ya mwisho kujadiliana kitu na wewe kwa sababu ya lugha uliyotumia. Nakuweka kwenye ignore list yangu. Chochote utakachoandika, sitakiona.

Amandla...
 
Back
Top Bottom