PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

PreGE2025 Lema kuanika hadharani majina ya vigogo waliopo nyuma ya pazia sakata la G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Asante kwa kuchukua muda kunielimisha. Ila hii itakuwa mara ya mwisho kujadiliana kitu na wewe kwa sababu ya lugha uliyotumia. Nakuweka kwenye ignore list yangu. Chochote utakachoandika, sitakiona.

Amandla...
Kuku akimsusia mwenye nyumba,ajue kicheche atapata mlo jioni yake.
 
Hapana. Hàpana. Hapana. Chadema ndiyo chama changi lakini Lisu alinikatisha tamaa alovyotafuta " ukubwa" kwa kumbagaza Mbowe kwa kila uongo wa ubaya. Nikamuona Lisu hafai kuniongoza. Nikaachana na Chadema. Lakini nabaki mwanachama idle!
Fuatilia vizuri na hata habari g55 kama haina mkono ama viashiria vya m.kiti aliyehudumu katika vyama viwili.
 
G55 ni wanachadema watia nia wanaojiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025,

Na miongoni mwa watia nia hao wa g55 ni Tundu Lisu na heche 🐒
Haiwezekani chama kilichokufa kikashiriki kwenye uchaguzi, maana ilisemwa Lissu akiwa mwenyekiti chama kitakufa ndani ya miezi miwili huu unaelekea mwezi wa nne sasa...tufuatilie watia nia wa vyama hai kama TLP,NCCR,CCM n.k.
 
aulizwe alisema hayo gentleman,
but lisu na watia nia wengine kama g55, wanajiandaa kushiriki Uchaguzi mkuu wa October bila wasi wowote 🐒🐒
 
Huyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.

Amandla....
Wewe Ndio mjinga unawezaje kujibu hoja za watu waliunga na kuipitisha agenda husika?, Mrema hakuwa sehem ya mikutano?, Punguzeni UJINGA bata wewe.
 
CDM ndo inakuwa spinned away kwenye main agenda yao, hii nchi ina watu very smart.
 
Wewe Ndio mjinga unawezaje kujibu hoja za watu waliunga na kuipitisha agenda husika?, Mrema hakuwa sehem ya mikutano?, Punguzeni UJINGA bata wewe.
Kwanza Lissu hakuhusika katika kumuingiza Lowassa CDM?
Lissu hakuhusika katika kupitisha agenda ya Maridhiano?
Heche hakuwa sehemu ya Maridhiano?
Mbona sikuwasikia mkiwanyooshea vidole walipoupinga wazazi msimamo halali wa chama chao ambao walishiriki kuupitisha? Mkuki kwa nguruwe.
Ila usinijibu maana siongei na watu wanaoniita mjinga. Nakuweka kwenye ignore list ili usinisumbue tena.

Amandla....
 
..chadema wanatakiwa kufocus kwenye " no reforms no election " .

..magomvi yanaondoa mvuto na umakini ktk kampeni za mabadiliko / mageuzi.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.

"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.

"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.

Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.

View attachment 3295516
Unahitajika Hekima sana CHADEMA kuvuka salama katika hili vugu vugu maana hakuna adui mbaya kama adui aliye ndani.
 
Mrema, njaa imemkondesha kitambi kimeshuka. Ccm inawapenda watu kama tahira Mrema
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.

"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.

"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.

Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?

Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.

View attachment 3295516
G55=Nzi55.
 
Ni ccm hao na woga wao juu ya “No reforms no elections!”
Inabidi watumie mamluki wakina Mrema! Boni yai Bado anajificha hajajitokeza.
Hii kauli mbiu ya no Reform no Election inawapa hofu kupita kiasi, wanaona kama ndo mwisho wao kisiasa
 
Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Hii hii CDM inayochanja Mbuga au CDM gani wakuu mnayomaanisha kama tungekua na watu wakufanya opinion pool zisizokua na bias wakafanya mngepata majibu hiki chama angea hiwa Alpha na Omega muda huu kingekua ICU
 
Lema hajawahi kuwa na akili nzuri
Pale alipo hajaenda shule kunwa lkn yupo na akili ile, ogopa sana mtu ambaye yupo na akili ya kuzaliwa, huezi jilinganisha na Lema, nakuhakikishia CCM 29 tena wale (Think tanker) Lema 1!
 
Back
Top Bottom