imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
😅😅😅😅Pale mwanaccm anapoonesha huzuni chadema ikifa. Unajiuliza ana maslahi gani na chadema?Ni faida kwako na ccm. Kila siku chadema imekufa na itakufa ila bado mnatumia policcm kuwadhibiti wasifanye shughuli zao maiti anawezakufanya kitu gani?
Umeanza tena. Toa ushahidi kuwa mimi ni Team CCM? Unamtia aibu Peter Tosh.Team ccm mbona mnaumizwa sana na mambo ya Chadema?
Kwani Kuna ubaya?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
Pesa za Abdallah mwaka huu mtazitapika😅😅Sasa Lema anasema watalia machozi ya damu kwamba CHADEMA ni baba Yao kiasi hawatakua na option nyingine ama? Lema ana akili kweli?
Mbowe alikuwa/ana inborn respect, charisma, high intuition, logical, piloophical embede in him, integrity and many more atributes of a good leader.. Lisu ni VURUMAI MTU, kuropoka, kujiona kujua kuliko wengine, hana charisma ya uongozi... anafaa kuhamasisha vurugu na si uongozi. But LISU IS INTELLIGENT upstairs!..ACADEMICALLY'Movement' kama hizi za kina G55 ndani ya Chadema, Mbowe alikuwa hodari mno wa kuzidhibiti bila kuvuruga chama, ila kwa Lissu sijui itakuaje..
JokaKuu zitto junior
Where you gonna run? Peter Tosh hakuwa mnafiki.Umeanza tena. Toa ushahidi kuwa mimi ni Team CCM? Unamtia aibu Peter Tosh.
Amandla...
Mtazitapika mwaka huu mtasema yooteMbowe alikuwa/ana inborn respect, charisma, high intuition, logical, piloophical embede in him, integrity and many more atributes of a good leader.. Lisu ni VURUMAI MTU, kuropoka, kujiona kujua kuliko wengine, hana charisma ya uongozi... anafaa kuhamasisha vurugu na si uongozi.
Peter Tosh (born October 19, 1944, Grange Hill, Jamaica—died September 11, 1987, Kingston) was a Jamaican singer-songwriter and a founding member of the Wailers, a popular reggae band of the 1960s and early 1970s. Tosh, Bob Marley, and Bunny Wailer formed the Wailers in 1963 in the Kingston ghetto of Trench Town.Umeanza tena. Toa ushahidi kuwa mimi ni Team CCM? Unamtia aibu Peter Tosh.
Amandla...
Wazee wanahoji Elimu ya Mrema kama anashindwa kuelewa maana ya NO REFORMS NO ELECTION 😂😂😂Hawa ndio wazee wa busara wa Chadema! Vitisho vitisho tu. Unavunjaje makundi kwa kuwatisha na kuwatukana wengine? Anasahau kuwa Katibu Mkuu wao wa zamani aliwahi kusema kuwa CDM wanapoteza na kuwapiga watu! Na hajawahi kukanusha. Anajichanganya sana.
Amandla...
Huu Mwaka hakuna .wananchi wala Mwanachadema mtakayemvunja mguu kwa sababu ya uvjaguzi. Tumeikataa hiiHawa ndio wazee wa busara wa Chadema! Vitisho vitisho tu. Unavunjaje makundi kwa kuwatisha na kuwatukana wengine? Anasahau kuwa Katibu Mkuu wao wa zamani aliwahi kusema kuwa CDM wanapoteza na kuwapiga watu! Na hajawahi kukanusha. Anajichanganya sana.
Amandla...
Walisema alidisco😅Wazee wanahoji Elimu ya Mrema kama anashindwa kuelewa maana ya NO REFORMS NO ELECTION 😂😂😂
watazitapika kwa vile Lisu anazunguka nchi nzima? sijakuelewa. Lisu hana lolote sana sana ataishia kusemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,Mtazitapika mwaka huu mtasema yoote
John Mrema anatia huruma. Bora yake Msigwa aliamua kukaa kimya!Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
You seem to not care at all, the catastrophy of Tanzanian elections. You have no any sense of empathy, mnajali tu vyeo.watazitapika kwa vile Lisu anazunguka nchi nzima? sijakuelewa. Lisu hana lolote sana sana ataishia kusemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
😅😅😅😅John Mrema anatia huruma. Bora yake Msigwa aliamua kukaa kimya!
Mtangazaji wa BBC: Wewe ni miongoni mwa waasisi wa no reforms no election, iweje sasa unapinga?
Mrema: Sisi tulikuwa hatumaanishi kuzuia uchaguzi:
Mtangazaji: Lakini jina lenyewe no election linadhihirisha kwamba hakuna uchaguzi, mbona kama vile unakwepa.
Mrema: Sisi tulikuwa hatumaniishi kuzuia uchaguzi bali.........
Fake NewsLema anapaswa akamuombe radhi Mhe. Mbowe kwa kupanga njama za kumg'oa wakati akiwa gerezani.
Sasa wewe unafik unautoa wapi, Downpressor Man? Where you gonna run to?Where you gonna run? Peter Tosh hakuwa mnafiki.
Chaguzi ambazo mfululizo watu wanauawa, wanatekwa, wanafungwa kwa kesi za kubumba harafu anatokea Mwanasiasa na njaa zake anasema twende hivyo hivyo?
Huyo si muuaji? Si anashirikiana na wauaji?