The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Kuna watu huwa, hawanaga mbili kwenye moja na huwa huamini katika msimao wao, akiwamo lema, na lissu,Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Hawa jamaa wakisema noo huwaga hawanaga option ya pili