DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Lema ni tapeli tu la kisiasa mpumbavu tu.Hoja za G55 hazijabiwaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
CHADEMA ina viongozi wa hovyo haijawahi KUTOKEA.Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Wanashambulia watu badala ya hoja.Hoja zimewekwa mezani machizi wanakwepa kuzijibuG55 wameweka wazi hoja zao. Dikteta na genge lake badala ya kutoa majibu, wanakuja na ngonjera za project. Watoe majawabu ya hoja za G55 wawache kuwatisha.
Uko sahihi.Wote akili zao fyatuChama kinaongozwa na watu watatu Lisu,heche na lema
Lema ndio msemaji Mkuu 😃
Alafu wanataka Mabadiliko watapiga kelele huku na huko watachoka
Haisadii, ajikite kueleza Chama chake kina mikakati gani ya kuimarisha Uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla?anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55,
Hawajazoea siasa za kujibu hoja. Wamezoea kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali.Wanashambulia watu badala ya hoja.Hoja zimewekwa mezani machizi wanakwepa kuzijibu
Wanashambulia watu badala ya hoja.Hoja zimewekwa mezani machizi wanakwepa kuzijibu
Hoja gani ? Neno "No election" linahitaji ufafanuzi na hakuna uchaguzi? Kumbe wajinga mko wengiHuyu jamaa ana tofauti gani na Makonda? Badala ya kujibu hoja zao yeye anajikita kwenye uchafuzi. Yaani watu kama Mrema, Ruge, Suzan hawawezi kujiamulia kitu mpaka watumwe?!!! Ovyo sana.
Amandla....
Miezi 7 uliokuwa JF ndio inakufanya ujione Great Thinker? Nakuingiza kwenye ignore list ili usinisumbue. Kwa heri.Hoja gani ? Neno "No election" linahitaji ufafanuzi na hakuna uchaguzi? Kumbe wajinga mko wengi
etiYaani kutaja majina tu hadi uitishie? Si unawataja tu?
Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amesema anapanga kuweka hadharani majina ya vigogo wanaodaiwa kuwa nyuma ya pazia la sakata la G-55, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakinufaika kifedha kupitia mradi huo huku wengine wakitumika kama “bidhaa” bila kujua.
"Hii project ina pesa nyingi, wachache wanaoingoza kwa nyuma ni wanufaika wazuri sana pamoja na watu wao walioko upande wa pili," alisema Lema na kuongeza kuwa baadhi ya wanaojitokeza hadharani kuunga mkono G-55 hawajui kama wanageuzwa kuwa bidhaa.
"Wakijua, watakuja kukiri na kuomba msamaha kwa machozi ya damu. Nitanyoosha rula, yaliyofanyika darini yatawekwa hadharani,"alisema kwa msisitizo.
Soma: Ukimya wa Mbowe; Je, yupo nyuma ya G55? Kwanini haungi mkono harakati za Lissu na Chadema hivi sasa?
Andiko la Lema kupitia X linakuja wakati mjadala kuhusu kundi la wabunge 55 wa CHADEMA linaloelezwa kuibuka na msimamo tofauti ndani ya chama ukiendelea kushika kasi.
View attachment 3295516
Aisee unaona mbali sanaLema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.
Wataita mapinduziYeah hii ingekuwa strategy bora sana. Kuna vijana wengi sana wenye uwezo wa kufanya vitu vikubwa. Hii mihemko haitawasaidia.
Toka lini chawa akaionea huruma cdm?Lema hajawahi kuwa na akili nzuri.Lissu kupitia ushauri wa mjinga Lema atakwenda kuizika CDM soon.