Tetesi: Lema kutimkia CCM

Kwani tangu Kalisit na Milya na Nasari watimkie ccm Nini kimebadilika dogo!

Ndio kwanza mpina anasema Ikulu imetoa vibali vya sukari kifisadi

Wazabuni wa serekali wakiwemo wa Tanroad hawajalipwa tangu January
Sure na game imezid kua ngumu kasepa msigwa kasepa peneza hata covid ila bado hakuna kilichobadilika as a country zaid ya mama mama mama
 
Labda mcherengwa
 
Kama ni faida kwake..binafsi yoyote anayehama chama haina shida. Coz hakuna mwenye hatimiliki ya chama cha siasa..Lema akiamua aende..waliobaki waendelee..kama nao watasalenda sawa tu. LiCCM kulitoa pale lilipo ni kazi sana, lina mbinu za kutosha za kisiasa likipigiwa chapuo na katiba ya nchi..hivyo ukiona unapenda siasa halafu ukawa nje ya ccm na ukaona miaka na miaka mpo palepale rudi au hamia ccm au ukajenge nchi kimtindo...wengine sie aaaah neutral tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…