Ni ujinga tu kuendelea kumlaumu mtu aliyewahi kuwapo madarakani badala ya kumuhimiza aliyepo sasa afanye mazuri ambayo hayakufanyika na kufuta mabaya ambayo yalifanyikaKiongozi Yule mnafiki.
Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikua anajifanya mwanademokrasia lakini aalikua mtu hatari.
Kupitia taarifa alizokua anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.