Lema, Lissu na Heche waliamua kumtoa kiongozi mnafiki ambaye aliwauza wenzake kwa miaka mingi

Kiongozi Yule mnafiki.
Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikua anajifanya mwanademokrasia lakini aalikua mtu hatari.
Kupitia taarifa alizokua anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.
Ni ujinga tu kuendelea kumlaumu mtu aliyewahi kuwapo madarakani badala ya kumuhimiza aliyepo sasa afanye mazuri ambayo hayakufanyika na kufuta mabaya ambayo yalifanyika
 
Mbowe hana kosa kugombea na kushindwa na Lissu hana kosa kugombea na kushinda hiyo ndiyo demokrasia aliyoionyesha Mbowe inafuta madhaifu mengine yote.
 
hivi bado muna joto na Mbowe? chama si mumeshachiwa munataka nini chengine?
 
Freeman was a sellout ling time ago
 
John mrema ( mwandani wake)
Yericko Nyerere ( mwandani wake)
Benson kigaila ( mwandani wake)
Yupo wapi Ben sanane?
Yupo wapi Alphonso Mawazo
Mdude yupo wapi?
Mzee Ally Kibao yupo wapi?
Yani yye kuongoza miaka yote sawa na was democrasia ? Kuongoza mwenzie tu nongwa? Usimwamini MCHAGA HATA MARA MOJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…