Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
CCM inaleta matabaka makubwa haswaMi ni chama tawala mkuu, Yani tangu juzi mke wangu na wanangu wanauliza tutapika lini wali nyama?? Kuna watu wanazo fweza na Kuna watu hawana... Yani Kuna tabaka kubwa sana linajijenga kwa haraka la wenye wali nyama na sisi wa ugali kabichi
CCM imeleta umasikini mkubwa snNazani wananchi wanataka ajira ziongezeke ili waweze kupata kipato cha kukidhi kula hizo nyama
Nabii kaongea kama mistali ktk kitabu kitakatifu, sio kila mtu anaweza kuelewa maandiko
Mara ya mwisho kwenu kula nyama ilikuwa ni lini?Serekali ina mapungufu ila huu ni uongo
Kila mlo nyama ipo na tunaishi chini ya dollar 1Mara ya mwisho kwenu kula nyama ilikuwa ni lini?
Wali nyama buku tu kitaa,unapata na maharage mbogamboga na pilipiliNabii kasema ukweli kabisa.
Mtaa gani huo nije?!Wali nyama buku tu kitaa,
Tandika, kinyerezi,chanika,ukitaka wa buku jero utakula mpaka unyeMtaa gani huo nije?!
Hali ni ngumu kwelikweli ila wala kwa urefu wakamba wataita uchochezi.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia
Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
yeye ni mwana ccm ,kwani wana ccm hawana akili? hata mimi ccm lakini penye ukweli lazima tuseme.tusisubiri yatokee kama ya kenyaUnaonekana una akili sana lakini kwanini unaweka hiyo nembo yenye gundu?
Labda nyama ya panyaKila mlo nyama ipo na tunaishi chini ya dollar 1
CCM si tunaambiwa inapendwa sana ! ya kenya yatapitia njia gani?yeye ni mwana ccm ,kwani wana ccm hawana akili? hata mimi ccm lakini penye ukweli lazima tuseme.tusisubiri yatokee kama ya kenya
SawaBirmingham ya kwa bibi nyau
Poa poaSawa
Umejinasibu nayo mwenyewe!Kama yako ya kuombaomba Lumumba.
Sijawahi kuwa Chawa wa Mwenyekiti.Umejinasibu nayo mwenyewe!
Nitajuaje na unavyo viashiria vyote!Sijawahi kuwa Chawa wa Mwenyekiti.
Weka hata comment yangu yoyote?Nitajuaje na unavyo viashiria vyote!