Pre GE2025 Lema: Maisha yamekuwa magumu sana. Kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri

Pre GE2025 Lema: Maisha yamekuwa magumu sana. Kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mi ni chama tawala mkuu, Yani tangu juzi mke wangu na wanangu wanauliza tutapika lini wali nyama?? Kuna watu wanazo fweza na Kuna watu hawana... Yani Kuna tabaka kubwa sana linajijenga kwa haraka la wenye wali nyama na sisi wa ugali kabichi
CCM inaleta matabaka makubwa haswa
 
Nazani wananchi wanataka ajira ziongezeke ili waweze kupata kipato cha kukidhi kula hizo nyama

Nabii kaongea kama mistali ktk kitabu kitakatifu, sio kila mtu anaweza kuelewa maandiko
CCM imeleta umasikini mkubwa sn
 
Hahaha.. Mama anaupiga mwingi, amefungua nchi!

Nchi ya nyoko
 
Ndio maana njemba zilikuwa zinaenda sana ikulu kwa kisingizio cha muafaka
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema maisha yamekuwa magumu sana kiasi kwamba kula Wali Nyama imekuwa ni jambo la kuvizia

Lema amesema Serikali iwaangalie kwa jicho la Tatu Wananchi kwani Leo hii kula Wali Nyama ni hadi Uvizie buffet kwenye Misiba ya Matajiri
Hali ni ngumu kwelikweli ila wala kwa urefu wakamba wataita uchochezi.
 
yeye ni mwana ccm ,kwani wana ccm hawana akili? hata mimi ccm lakini penye ukweli lazima tuseme.tusisubiri yatokee kama ya kenya
CCM si tunaambiwa inapendwa sana ! ya kenya yatapitia njia gani?
 
Back
Top Bottom