Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM




Lema ametoa machozi akiwa ukurasani X

Pia soma Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
 
Lema ccm panamfaa, na yeye atimkie huko.
 
Kuweka matumaini yako kwa mtu mmoja ni udhaifu, na ni kosa, hata kama waliishi pamoja kwa muda mrefu wakiwa Chadema, anatakiwa kujua binadamu tunabadilika.

Amini misingi ya taasisi uliyomo kwanza, kisha wafuate watu.
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM

Lema ametoa machozi akiwa ukurasani X
Hata Lema kuhamia CCM inawezekana. Huyo sio CHADEMA halisi. Alitokea TLP. Kama role model wake alikuwa Lyatonga basi lolote linawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…