Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Lakini mbona alikuwa mgumu sana kuhamia CCM kipindi cha huyo unaemuita dhalimu, na sasa kajongea kiulaini?, Ndio tuseme CCM ya mama iko vizuri au unasemaje ndugu yangu Tindo?Mimi sijashangaa kabisa, kauli za Msigwa toka alipotaka kulipiwk na dhalimu magu ili atoke gerezani, zilionyesha yuko cdm kwa kwa kuhofia kusimangwa. Baada ya kushindwa uchaguzi alikubali kushindwa kishingo upande, lakini siku chache mbele akazua zogo ili kujitengenezea njia ya kuondoka. Na yeye ndio alikuwa anampa mama Samia mambo ya ndani ya cdm. Rejea kauli ya Samia kuwa ndani ya cdm kunawaka moto.