Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

Chadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii
Nakumbuka mchezo tuliomchezea mwakalebela msigwa akachukua ubunge ndiyo mchezo tuliomchezea msigwa sugu akachukua uwenyekiti wa kanda tafakari
 
Msigwa na Meko Mwendazake wameoleana.... Family business?
It was but msigwa alikataa

Miye nilishasema miaka yote… the day you put your emotions to a politician , is the day you have lost yourself

Siasa ni Kama biashara nyingine… ila mtaji wake ni domo na watu
 
Uko sahihi sana kwamba Mbowe ni tatizo kubwa sana ndani ya cdm, mbona hao wahamaji hawahamii vyama vingine bali ccm tu?
Nafikiri ni hela tu, wanaangalia wapi kwenye maslahi makubwa na hata kulinda maslahi yao pia
Wengi wanajua kwenda chama tawala wako safe
 
Ni kweli si kila anayehama amenunuliwa, lakini ni nadra utoke upinzani kwenda ccm bila ushawishi wa cheo ama ulaji. Huyo Msigwa ameondoka kwa jazba kwenda ccm ili kubahatisha chochote, maana aliwahi kurubuniwa wakati wa Magufuli lakini akasita kuondoka kwa kukosa ujasiri. Leo hii hana cheo chochotr cdm ameona ni bora akapate kanafasi ccm ili agange maisha.

Lisu hawezi kwenda ccm maana sio mtu wa falsafa za kujipendekeza, na ikitokea akaingia huko ccm ataishia kuwavuruga tu.
Aliwahi rubuniwa akasita kwenda maana yake hakuhama na ni mtu mwenye msimamo, bado una hoji misimamo yake?

Sio wote wanao hama wana mapenzi na ccm au kwingine waendako ila hawana jinsi, wanatafuta sehemu zingine za kufanya siasa, swali linatakiwa kwa nini wahame kuna tatizo gani? Jibu hapa mi moja tu ambalo Chadema hawapendi kusikia ni King Mswati, tu solve tatizo hili kwanza.

Kama Chadema inafanya yale yake ya kukandamiza uhuru na kuminya democracy kina tofauti gani sasa chama ambacho kiko madarakani, tutatoa bomu tuingize bomu.
 
It was but msigwa alikataa

Miye nilishasema miaka yote… the day you put your emotions to a politician , is the day you have lost yourself

Siasa ni Kama biashara nyingine… ila mtaji wake ni domo na watu
Mtaji mkubwa zaidi wa wanasiasa ni UONGO na UNAFIKI...
 
Lema nae ni jambo la mda tu,(na sio Lema peke yake na miamba mingine) Atahamia ccm hata kabla ya uchaguzi mkuu.Mbowe ajiangalie chama kitamdodea
 
Shika adabu yako

Nyambaaafff 😂😂

Tushazeeka
Kabila mbaya huwa haizeeki....

Tisidanganyane... Naendelea kuwalinda dada zangu dhidi mabeberu na makabaila...
 
Back
Top Bottom