Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Nakumbuka mchezo tuliomchezea mwakalebela msigwa akachukua ubunge ndiyo mchezo tuliomchezea msigwa sugu akachukua uwenyekiti wa kanda tafakariChadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii