Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Wanaofuafia kuhamia ccm ni Lema na Mnyika.Lema anawaza pesa alizipewa Msigwa na yeye azipate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaofuafia kuhamia ccm ni Lema na Mnyika.Lema anawaza pesa alizipewa Msigwa na yeye azipate
Hana wa kuondoka nao, na hata akiondoka nao bado hawezi kuwapeleka ccm, sana sana ataua ari ya watu kushabikia siasa. Kama huamini subiri uone wapiga kura watakavyokuwa wachache ndio ujue madhara ya hawa wahamaji.Kuondoka kwa mtu kama yule ni pengo, kumbuka anaondoka na mtaji mkubwa wa watu.
Uko sahihi sana kwamba Mbowe ni tatizo kubwa sana ndani ya cdm, mbona hao wahamaji hawahamii vyama vingine bali ccm tu?Tatizo kubwa la Chadema ni Mbowe, chama ni mali binafsi yake wala sio ccm wala sio kusema wana nunuliwa, chama kimekuwa kwa ajiri ya familia ya mtu mmoja halafu mnakuja na kauli za kufarijiana hapa eti wana nunuliwa, tatizo ni King mswati wa chadema.
Haiwezekani wote wanaotoka ni wabovu au wamenunuliwa, King Mswati yeye yupo kwa ajiri ya maslahi binafsi, mkisubiri mageuzi ndani KIng Mswati ni kupoteza muda, mtaishia kusema ohh wananunuliwa, ohh kura tunaibiwa, ohh tuandamane, ohh tulikubaliana na Rahisi hakuna zama za giza tena ohh story ohh story oh story miaka ina songa mwenzenu anapiga pesa, ohh nakuposha chama, ohh bila mimi chama hakiendi, ohh nakidai chama, ohh bila mimi chama kina hujumiwa, hizo zote ni usanii tu wa kupiga pesa na kuendelea kumiliki chama.
Actually mnao msikiliza nawapa pole, hizo elimu zenu zote mnasikiliza JIBA?
Lema na Mnyika ndio wanaofuatia kuhamia ccm. Lema hana tabia ya kuvumilia sehemu hapati hela. Hapo alipo anatafuta tu sababu. Mnyika yeye toka enzi za Magu alishafika bei, ila anakosa tu ujasiri wa kuhama.Kwenye hii ziara ya Mbowe ambayo anaambatana na lema. nauona uso wa lema ukiwa hauna furaha.
Dhamira ilikuwa inamsuta kwa misimamo na maneno yake ya zamani.Nilimuona Msigwa alivyokua anaingia mle ndani. Neno traitor lilikua limejiandika usoni kwake. Hakua comfortable.
Kwa yale Yanayoendelea Kenya ni uthinitisho tosha kuwa Dunia chini ya mwavuli wa Demokrasia inatawaliwa niKikundi cha wahalifu na watu waovu ,wabinafsi wasiojali Maumivu ya wengine.mibichama tunapoteza watu makini so sad
Umechelewa sana kugundua kuwa ARI YA KUSHABIKIA SIASA ni mtaji kwa upinzani na hasara kwa CCM.Hana wa kuondoka nao, na hata akiondoka nao bado hawezi kuwapeleka ccm, sana sana ataua ari ya watu kushabikia siasa. Kama huamini subiri uone wapiga kura watakavyokuwa wachache ndio ujue madhara ya hawa wahamaji.
Kuhamia chama gani ni utashi wa mtu binafsi, lakini binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kila anaehama ni kununuliwa, hiyo ni kauli inatolewa na team King Mswati mutafuta huruma.Uko sahihi sana kwamba Mbowe ni tatizo kubwa sana ndani ya cdm, mbona hao wahamaji hawahamii vyama vingine bali ccm tu?
Nguvu ipiHawakuzaliwa kwa ajili ya chadema, kuna nguvu mpya inakuja chadema bado imara sana
Kwa taarifa yako hiyo ari ikishuka wala sio faida kwa ccm. Kama huamini angalia viongozi wa ccm wakiitisha mikutano bila kugawa fedha n vitisho wanapata idadi gani ya wahudhuriaji. Ama subiri chaguzi zetu uone idadi ya wapiga kura itakuwaje?Umechelewa sana kugundua kuwa ARI YA KUSHABIKIA SIASA ni mtaji kwa upinzani na hasara kwa CCM.
Uchaguzi 2015 ulikuwa mgumu kwa kuwa ARI YA KUSHABIKIA SIASA ilikuwa juu lakini 2020 kulikuwa na muuzauza ya uchaguzi ila ilibidi wananchi tukubali tu kupelekwa.
Msigwa naamini aliiamini na kuipa heshima sana CDM mpk alipoona kuwa heshima yote hiyo ni bure tu.
Kama kununuliwa angehama kipindi cha Jiwe
Ni kweli si kila anayehama amenunuliwa, lakini ni nadra utoke upinzani kwenda ccm bila ushawishi wa cheo ama ulaji. Huyo Msigwa ameondoka kwa jazba kwenda ccm ili kubahatisha chochote, maana aliwahi kurubuniwa wakati wa Magufuli lakini akasita kuondoka kwa kukosa ujasiri. Leo hii hana cheo chochotr cdm ameona ni bora akapate kanafasi ccm ili agange maisha.Kuhamia chama gani ni utashi wa mtu binafsi, lakini binafsi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kila anaehama ni kununuliwa, hiyo ni kauli inatolewa na team King Mswati mutafuta huruma.
Kwa nini kuhamia ccm? Boss hapo ulipo wewe ni Mkurugenzi, mambo yakiwa hayaendi ndivyo sivyo huwezi kuhamia kwenda sumbawanga kufanya kazi kwenye Radio inayo chipukia, lazima utaangalia walau kituo chenye hadhi sawa au karibu sawa na unachofanyia kazi.
King Mswati hujui kwa nini kapoa awamu hii ya 6? , tayari tuko kwenye zama za ulaji, ulaji ulifunguka, kelele zote za democracy ni gelesha tu. Siasa za upinzani Tanzania ni upuuzi tu, namhurumia Lisu maana ana poteza muda tu.
Hamna kitu hapoChama tunapoteza watu makini so sad
Shida ilianzia hapomaana aliwahi kurubuniwa wakati wa Magufuli lakini akasita kuondoka kwa kukosa ujasiri. Leo hii hana cheo chochotr cdm ameona ni bora akapate kanafasi ccm ili agange maisha.
Wamechelewa kujua sanaHawakuzaliwa kwa ajili ya chadema, kuna nguvu mpya inakuja chadema bado imara sana
Na bado watanyookaCCM wametumia kila njia kisiki Mbowe aondoke ili CDM ilainike ila imeshindikana kabisa.
Hapo mnatumia choo ndotoniHana muda mrefu atatimkia huko huko!
Uwo mtaji wa watu ndio umekula hela yake aliyokuwa anaigawa kule kwenye kanda kaenda peke yake huyo chadema ni zaidi uijuavyo!Kuondoka kwa mtu kama yule ni pengo, kumbuka anaondoka na mtaji mkubwa wa watu.
Msigwa na Meko Mwendazake wameoleana.... Family business?Msigwa alikataa CCM wakati wa Magufuli because of his respect to CHADEMA…. Hakujua hiyo ni family business