Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

Msigwa alikataa ccm wakati wa magu because of his respect to chagadomoz…. Hakujua hiyo ni family business
Mbowe ajitafakari Msigwa amefanya maamuzi sahihi Msigwa amefanyiwa hujuma sana kwenye uchaguzi wa Kanda ya nyasa Msigwa kama angekuwa pandikizi angeshakuwa ameondoka kipindi Cha manunuzi ya Polepole na kupewa cheo
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM

Lema ametoa machozi akiwa ukurasani X
chama cha mbowe kile hata wakubali wakatae huo ndio ukweli, chama kilikuwa cuf ingawa lipumba alikibomoa , now chama bora chenye kubeba sura ya wananchi ni ccm tu ikifuatiwa na act
 
Msigwa alikataa ccm wakati wa magu because of his respect to chagadomoz…. Hakujua hiyo ni family business
NI kuhamisha magoli tu, unafikiri ndani ya CCM ukiondoa hela kuna demokrasia walau chembe?

Mchungaji kakata tamaa kaona safari ni ndefu saana. Kakubali yeishee.
Sababu anayoyaamiii na aliyotuamisha watanzania hawezi kuyafanikisha akiwa CCM.
 
Sasa kitakuwa chama cha ajabu sana Yani ukikosa uongozi kwenye chama chako ndio ukimbie Kuna namna msigwa asituone sisi watoto wadogo
Siyo chama cha ajabu sema kiongozi wa ajabu.
Wanaume ama viongozi shpavu huwa hawahamishi magoli - ni humo humo hadi kieleweke.
 
Kamuulkze Jiwe, kwa sisi wenye D mbili tunajua biashara ilisha ishaga kitambo saana enzi zake.
Lilikiwa suala la muda gani kitu kichomoke.
Chadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema ameumia sana kuona mchungaji Msigwa anahamia CCM

Lema ametoa machozi akiwa ukurasani X
Na yeye akihama watakuwepo wa kumlilia 😂️😂️😂️😂️😂️
 
Chadema ni TAASISI wengi wameondoka kuanzia Kaburu,Kafulila,Kitila,Gekur, Pendo, Zitto etc.....lakini kinadunda tu,ni chuo kizuri cha kupika wana siasa kwa karne hii
Hakika. Chadema ni chuo cha CCM kinachoendeshwa kwa mgongo wa upinzani malipo yao ruzuku. CCM nimewainulia mikono 🙌️🙌️🙌️🙌️
 
Msigwa ameamua kutuachia Watanzania wenyewe siku tutakayoona tunahitaji ukombozi tuchukue maamuzi, ametumia nguvu na jasho lake kumbe wengine wengi aliokuwa nao kwenye harakati ni wafanyabiashara tu.

Ameona Bora aende tu CCM akatafutie familia yake ugali.

Che- Guevara alishawahi kuwatelekeza wamakonde baada yakugundua wengine hawana nia ya dhati na harakati za ukombozi.
 
Back
Top Bottom