Lema: Mchungaji Msigwa nimeumia sana, natamani niendelee Kufanya Kazi na wewe kwenye Chama Bora CHADEMA

Lakini mbona alikuwa mgumu sana kuhamia CCM kipindi cha huyo unaemuita dhalimu, na sasa kajongea kiulaini?, Ndio tuseme CCM ya mama iko vizuri au unasemaje ndugu yangu Tindo?
 
Lakini mbona alikuwa mgumu sana kuhamia CCM kipindi cha huyo unaemuita dhalimu, na sasa kajongea kiulaini?, Ndio tuseme CCM ya mama iko vizuri au unasemaje ndugu yangu Tindo?
Alikosa ujasiri wa kuhama wakati ule. Kwa sasa amehama kwa jazba baada ya kukosa uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…