Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ingieni mtaani kama walivyofanya Waarabu na Arab spring yao.
Au mnaogopa virungu?
Oh wait...UKUTA ulimomonyoka😀
Au mnaogopa virungu?
Oh wait...UKUTA ulimomonyoka😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini tuanze kuumizana wakati katiba yetu ndio muongozo wetu?Ingieni mtaani kama walivyofanya Waarabu na Arab spring yao.
Au mnaogopa virungu?
Oh wait...UKUTA ulimomonyoka😀
Nasi endeleeni kulia na kunung'unika mitandaoni.Kwanini tuanze kuumizana wakati katiba yetu ndio muongozo wetu?
Leo naona umeanza na salamu siyo matusi tena na kejeli zile....hakika selo haijawahi mwacha mtu salama. Umekuwa mtiifu kweli.Mh Rais Magufuli nakusalimu.
Nimetoka Magereza hivi karibuni ambako nilikuwa huko kwa zaidi ya miezi minne kwa kunyimwa masharti ya dhamana kwa dhamana iliyokuwa wazi.
Mh Rais, nimeona kwenye vyombo vya habari leo kuwa kwamba wale Wabunge waliokuwa wanataka kunisalimia nilipokuwa Magereza kuwa ni wasaliti wa chama cha CCM, Mh Rais wengi walinisalimia, Wachungaji, Masheikh, Wabunge na Viongozi mbali mbali, sidhani kama hatua hii ilikuwa ni usaliti isipokuwa upendo ambao ni muhimu kwa binadamu yoyote haswa wakati wa matatizo.
Mh Rais, nimeogopa sana kwa kauli hii yako, je Taifa linakwenda wapi, hivi kweli sisi Wabunge ni maadui? Kama viongozi tutafikiri utengano ni moja ya njia ya kuimarisha vyama vyetu, basi bila shaka tutakuwa tunalitendea Taifa ubaya .
Dhambi hii ikikomaa basi ni hakika kwamba lugha za udini, ukanda na ukabila hazitaacha kukomaa, ni muhimu sasa tukajenga utamaduni wa kuhimiza mshikamano wa Kitaifa bila kujali itikadi kama kweli tunawapenda masikini na wanyonge wa nchi hii.
Nawaomba Wabunge wenzangu walionijali wakati niko magereza wasijisikie vibaya kwani walifanya jambo jema na muhimu kwa wakati muhimu sana katika maisha yangu, ninatarajia kuwa Spika wa Bunge atatoa kauli juu ya kauli yako.
Mh Rais wakati wa Msiba wa Christina Lissu dada yake na Mh Tundu Lissu nilikuona katika msiba ule wewe na Mama yetu Mke wako, je Mh Rais na wewe ulikuwa unasaliti Chama chako?
Mh Rais neno la Mungu linasema, Wapendeni maadui zenu, waombeni wanaowauzi , wabarikini wanaowaonea kwani kufanya hivi ni kuishi kwa thawabu za Mwenyezi Mungu.
Mungu akubariki sana, natumaini Mh Rais sitakamatwa leo kwa ujumbe huu mfupi.
Godbless J Lema (MB)
Lakini tumefundishwa kuheshimu mawazo ya wengineUkweli kabisa hata mimi ukinipinga hovyo bila hoja nakuona Zimwi.
Ujifanye mjinga siku zipite halafu matatizo aje kurithi mtoto wako, wajukuu zako na kizazi kijacjo siyo? Miafrika bhana! We unafikriia urefu wa pua yako tu! Si afadhali basi ungesema turudi kwenye system ya chama kimoja kulio kusema tkae wajinga?Huo ndio ukweli, kwa Tanzania ukiwa mpinzani serikali ya CCM wanakuona wewe ni zaidi ya shetani. Watakuchukia, watakusema vibaya, watakupa kibano na hata pengine kukudhuru kabisa.
Kuwa mpinzani kwa nchi kama ya tanzania ni kuhatarisha maisha yako na kuyaweka katika risk kubwa ya kuyapoteza.
Ni vema kujifanya mjinga ili siku zipite, vinginevyo uingie katika siasa za kipinzani huku ukiwa umesha wajengea misingi ya maisha wategemezi wako kama watoto na wazazi. Vinginevyo unaweza kuwaacha watoto wako pasipo kuwajengea misingi ya kimasha
Wanaccm wanavyomwona mpinzani wanatamani wakuchome moto kabisa upotee mbali huko
Mawazo ya kihuni yanakera,kama haya ya kulazimishana kuingia msituni.Lakini tumefundishwa kuheshimu mawazo ya wengine
Ukimsoma Lema vizuri ktk uzi huu anamshauri Rais kufuata taratibu za Urais kama taasisi. Ili awe kiongozi na si mtawala mwenye hofu na nafasi yake . Ukiwa kiongozi raha lakini mtawala ni hofu.Mawazo ya kihuni yanakera,kama haya ya kulazimishana kuingia msituni.
Mimi nilikuwa naujibu uzi mwingine kabisa nadhani umeunganishwa na huo wa Lems.Ukimsoma Lema vizuri ktk uzi huu anamshauri Rais kufuata taratibu za Urais kama taasisi. Ili awe kiongozi na si mtawala mwenye hofu na nafasi yake . Ukiwa kiongozi raha lakini mtawala ni hofu.
NAAMINI UTANIELEWA
Nimepata taarifa mh.Halima mdee kakamatwa na dhamana kanyimwa Leo hii! Huku ni kumchonganisha Rais na wananchi .
Sio wote wanaofurahi huu ukandamizwaji dhidi ya wapinzani kwa makosa ya kusingiziwa kama uchochezi na kisha kukosa dhamani
Tangu nakua na kupata akili nimeona fair play katika uwanja wa kisiasa nchini.
Lakini kwa hili watanzania tuseme inatosha wanatuharibia nchi hawa.
Juzi sugu Leo mdee!
Kwa pamoja tuseme sasa inatosha na tuchukue hatua
Sent using Jamii Forums mobile app