Lema: Mh. Rais, Vyama vya siasa sio uadui

Umoja wetu uko hatarini kiwango cha mwisho cha kutokea kwa hali ya hatari
 
Hahahahahaha Polisi wetu bhana halafu kesho anatokea Nanihii flani hivi anasema POLITHI HAWATUMIKI KITHIASA; Nyoo macho kama kisiasa. Mniombee jamani
 
Tundu lisu akitoka hospital atawanyoosha bila ganzi
 
KANDA YA ZIWA EXCEPT (KAGERA,) WANAPENDA MAZIWA HAWA WATU
 
Hahahahahaha Polisi wetu bhana halafu kesho anatokea Nanihii flani hivi anasema POLITHI HAWATUMIKI KITHIASA; Nyoo macho kama kisiasa. Mniombee jamani
Mgosi usihofu, hata kizazi chetu kikipotea wapenda mageuzi hawatakwisha bali wanazaliwa mapacha mapacha. Mbinu zinazotumika kuutokomeza upinzani wa regime hii ni mbovu kwani ndio zinaujenga kabisa. Juzi nimekaa na vijana wetu walio likizo vyuoni mahali nikawauliza mna maoni gani kuhusu kushambuliwa kwa Lissu? Majibu niliyopata yaliniacha mdomo wazi! Waliosema hivi, mzee Chakaza hivi unadhani nyie kum maliza yule mtetezi wetu ndio mmeshinda? Kwa taarifa yenu sasa ndio mumezalisha Lissu zaidi ya 1000 jee muziki wake mtauweza?
Nikawajibu jamani mie simo kwa hao watu 'wasiojulikana', nao wakasema ole wao wale wanaoona vijana Tumenyamaza, hatuko kimya bure bali ni kwa vile bado wapo wazee wanaotusemea kiungwana wakishindwa wao kueleweka sisi tutakuja kishenzi.
Hapo ndio sikuelewa wanamaanisha nini, labda wewe mpwa waweza kutafsiri.
 
Inawezekana polis wengi ni makada wa CCM si kwa manyanyaso haya
 
Wanachokifanya polis wetu ni sawa na kufunika shimo la panya kwa kutumia kipande cha nyama
Mshauri wa jeshi la polis kwenye kusimamia sheria kwenye mambo yanayohusu demkrasia ni nani?
Je lengo la jeshi la polis ni kufuta mfumo vya vyama vya siasa kabla ya kubadilisha katiba yetu?
Jeshi la polis linautambua mfumo wa vyama vyingi vya siasa?
Jeshi la polis linatambua kuwa mfumo wa vyama vyingi vya siasa ni halali kikatiba?
Je jeshi la polis linataka kuangamiza vyama vya upinzani kwa sababu viongozi wote wa juu wa jeshi ni ndugu zake rais magufuli,na viongozi wengi serekalini wanatoka kanda ya ziwa kama alivyosema mh tundu lisu?
Mwenye majibu tafadhali?
Rejea kikao cha ma-IGP wastaafu specifically MAHITA na IGP wa sasa, possibly we can get some hints from within
 
Mgosi usihofu, hata kizazi chetu kikipotea wapenda mageuzi hawatakwisha bali wanazaliwa mapacha mapacha. Mbinu zinazotumika kuutokomeza upinzani wa regime hii ni mbovu kwani ndio zinaujenga kabisa. Juzi nimekaa na vijana wetu walio likizo vyuoni mahali nikawauliza mna maoni gani kuhusu kushambuliwa kwa Lissu? Majibu niliyopata yaliniacha mdomo wazi! Waliosema hivi, mzee Chakaza hivi unadhani nyie kum maliza yule mtetezi wetu ndio mmeshinda? Kwa taarifa yenu sasa ndio mumezalisha Lissu zaidi ya 1000 jee muziki wake mtauweza?
Nikawajibu jamani mie simo kwa hao watu 'wasiojulikana', nao wakasema ole wao wale wanaoona vijana Tumenyamaza, hatuko kimya bure bali ni kwa vile bado wapo wazee wanaotusemea kiungwana wakishindwa wao kueleweka sisi tutakuja kishenzi.
Hapo ndio sikuelewa wanamaanisha nini, labda wewe mpwa waweza kutafsiri.
Very true Mgosingwa
 
Mrema japo ni mwana ccm lkn alisema mahita alitakiwa kuwa jela
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia usione nchi zina vita
Hakuna alietoka nje kuja kuanzisha vita katika nchi hizo bali wahusika wa nchi husika ndio walivianza
Akaendelea kuniambia usione inasemekana katika nchi kuna waasi hawakuwekwa na mtu bali ni mateso waliyoyapata kutoka kwa serikali, bunge, mahakama, polisi, jeshi na kadhalika
Mwisho wa siku wakaona ni bora wajitetee wao kama wao
Akasema hivi ndivyo namna vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoibuka
Pale mtu anapokuwa hasikilizwi serikalini, bungeni, mahakamani, ukandamizaji wa polisi na mauaji kutoka kwa watu wasiojulikana

Labda niwaulize tena serikali, bunge, mahakama,police,na jeshi ni nini makosa ya chadema mpaka wanastahili adhabu hizi katika nchi yao?
Je ni wezi wa rasilimali za nchi
Ni adui wa haki
Au ndio waliosababisha hii nchi kuwa maskini wa kutupwa hadi leo?
 
Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana.
 
Umoja wetu uko hatarini kiwango cha mwisho cha kutokea kwa hali ya hatari

Wanaotusababishisa haya ni wanaCCM wanaopenda matumbo yao kuliko TAIFA lao.Ambao likitokea lakutokea wote watakimbia tutabaki nao tukipigwa mabomu na risasi wakati wakubwa wako Geneva kwenye Five Star hotels wkisujudiana na hao tunao waita wawekezaji,huku wakila,kunyw ana kulala kwa starehe zote na waototo wao wakiwa kwenye vyuo vikuu vya heshima wakiishi kwanye majumba makubwa ya kifahari,halafu kuna mabogibenda huku yanapiga tu makofi
 
Wanachokifanya polis wetu ni sawa na kufunika shimo la panya kwa kutumia kipande cha nyama
Mshauri wa jeshi la polis kwenye kusimamia sheria kwenye mambo yanayohusu demkrasia ni nani?
Je lengo la jeshi la polis ni kufuta mfumo vya vyama vya siasa kabla ya kubadilisha katiba yetu?
Jeshi la polis linautambua mfumo wa vyama vyingi vya siasa?
Jeshi la polis linatambua kuwa mfumo wa vyama vyingi vya siasa ni halali kikatiba?
Je jeshi la polis linataka kuangamiza vyama vya upinzani kwa sababu viongozi wote wa juu wa jeshi ni ndugu zake rais magufuli,na viongozi wengi serekalini wanatoka kanda ya ziwa kama alivyosema mh tundu lisu?
Mwenye majibu tafadhali?
Watu wasiojulikana
 
Katiba ya jamhuri ya muungano imeandikwa,na sheria ,na kanuni zake zinathibitisha bila Shaka

Kuwa tanzania ni nchi ya kidemkrasia inayofuata mfumo wa vyama vyingi vya siasa
Sheria zinakataza chama cha siasa kutumia dola kukandamiza chama kingingi cha siasa
Je viongozi wetu huwa hawasomi katiba yetu?

Vyama vyingi vya siasa sio hisani ya polis ama rais wa nchi,ni matakwa ya kikatiba ambayo taka usitake lazima uyaheshimu kwa kuwa yanalindwa na sheria mama katiba
Hata kama mkishauriana na mkeo wako na akakushauri ukatae mfumo wa vyama vyingi vya siasa huwezi kuukataa maana sio mapenzi yako,bali matakwa ya katiba iliyokuzaa wewe
 
Back
Top Bottom