kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 324
- 170
Elimu itolewe,upinzani si uadui,bali upinzani unasaidia kukosoa,na kujenga hoja kwa maendeleo ya taifa,mama tanz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo Halima Mdee amewekwa ndani kwa kosa gani?Mhaini kesi yake ni kifo au kifungo cha maisha Kuna mpinzani kapata adhabu kama hiyo?
Tufuate sheria,kanuni na taratibu tu hakuna shida
Mkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?Mhaini kesi yake ni kifo au kifungo cha maisha Kuna mpinzani kapata adhabu kama hiyo?
Tufuate sheria,kanuni na taratibu tu hakuna shida
Mkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?Mhaini kesi yake ni kifo au kifungo cha maisha Kuna mpinzani kapata adhabu kama hiyo?
Tufuate sheria,kanuni na taratibu tu hakuna shida
Umeuliza swali zuri .......Mkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?
Rais anaruhusiwa kukosolewa na kupewa ushauriSasa huyo Halima Mdee amewekwa ndani kwa kosa gani?
Kwani kumkosoa Rais hairuhusiwi nchini kwetu kwa hivi sasa?
Kama yeye ni Rais tuliyempa dhamana ya kuliongoza Taifa letu baada ya kumpigia kura, ni kwa nini vyama vya upinzani na wananchi wengine kwa ujumla wake wakatazwe kabisa kumkosoa Rais hata kama ukosoaji huo ni kwa maslahi ya Taifa?
Hakuna sheria ya kuzuia mikutano ya siasaMkuu kuzuia mikutano ya siasa ni sheria namba ngapi ?
Kama Kuna vyama vimekubalina na kauli hiyo basi hakuna vyama imara vya siasaUmeuliza swali zuri .......
Kama mfumo wa vyama vingi upo kisheria, inawezekanaje mtu mmoja asimame jukwaani na kutangaza kuwa anapiga marufuku shughuli za kisiasa za vyama vingine hadi mwaka 2020 na kuruhusu chama chake kiendelee kufanya shughuli za kisiasa bila kubughuziwa na Polisi?
Sasa kama Rais kukosolewa inaruhusiwa, ni kwanini DC wa Kinondoni amewaamrisha Polisi wamkamate Halima Mdee na wamweke korokoroni kwa yale aliyoyaita masaa 'yake' 48?Rais anaruhusiwa kukosolewa.
Polisi ni watumishi wa Umma na hawatakiwi kujiegemeza na chama chochote cha kisiasaPolice kaajiriwa na nan? Hapo umeelewa
CCM Ina fight kuua upinzaniMhaini kesi yake ni kifo au kifungo cha maisha Kuna mpinzani kapata adhabu kama hiyo?
Tufuate sheria,kanuni na taratibu tu hakuna shida
Kibaya zaidi wamepigwa maruku kuongea hata na wapiga kura wao.Mfano halisi ni hivi sasa ambapo wabunge Halima Mdee wa Kawe na Esther Bulaya wa Bunda mjini wakifungiwa kutohudhuria vikao vya Bunge hadi mwakani kwa kile kilichodaiwa na wabunge hao wa CCM kuwa wabunge hao waliofungiwa ni watukutu.