Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

Lema ni jasiri aisee ,hivi unaachaje watoto na mke watunzwe kwa misaada?
Wewe ulieweka akili yako na utu wako rehani kwasababu ya tumbo lako na Lema anaeilinda familia yake ni nani jasiri?

Pumbavu.
 
MHUNI KWENYE UBORA WAKE ,ANAYEMUELEWA HUYU JAMAA ATAKUWA ANAKARIBIA KUPELEKWA MILEMBE
Kwa hiyo we hutaki mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi?.Hapo wakuwahi milembe ni wewe aisee.
 
Unauhakika gani wanatunzwa na msaada? Una udhibitisho?
Nitapinga kauli yangu kama Lema atathibitisha hapa kuwa anayo biashara na alipa kodi hadi abaki na ziada inayomfanya watoto waishe nje ya nchi na kusoma.
 
Wewe ulieweka akili yako na utu wako rehani kwasababu ya tumbo lako na Lema anaeilinda familia yake ni nani jasiri?

Pumbavu.
Pole sana ,jitu zima linatunziwa familia ,nyumbu mnakenua tu 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Ikifika hapo kwenye tume huru ccm wote chini, hakuna anayetaka kuisikia.....wamezoea mbeleko ya policcm.

Kwa lazima wataelewa tu reforms kabla ya uchaguzi
Swala la Reform halina mjadala
 
Back
Top Bottom