Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

Lema na darasa la tume huru kwa vitendo ili lieleweke vizuri kwetu kijijini

Hivi kwa nini CCM haitaki mabadikiko ili Uchaguzi ujao uwe ni Huru na Haki kwa pande zote?? Tatizo ni nini hasa?
 
Wewe ulieweka akili yako na utu wako rehani kwasababu ya tumbo lako na Lema anaeilinda familia yake ni nani jasiri?

Pumbavu.
Kwa hiyo kulelewa familia ndio ujasiri? Maskini ya Mungu Nyumbu mnasikitisha aisee
 
MHUNI KWENYE UBORA WAKE ,ANAYEMUELEWA HUYU JAMAA ATAKUWA ANAKARIBIA KUPELEKWA MILEMBE
😃 😀 😄 😁 🤣 mkuu, usikute maandishi yakawa yanakulenga we mwenyewe! Niambie, ni sehemu gani alipokosea Lema hapo
 
Back
Top Bottom