Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaendeleaje huko praise team?Nasikia anasusa chakula huko lupango kwa kisingizio cha kuwa karibu na Mungu. Inawezekana pia Mungu anataka kummaliza kwa njaa maana alisema rais atakufa kabla ya 2020, sasa ataisoma namba
Mungu ibariki JFWadau heshima kwenu,
Hivi scorpion akisema nimeota nakutoboa macho utajiskiaje? Kwanza scorpion anamwamini mungu, inaweza kuwa ni ganja analopata kabla ya kuingia mtaani lakini ndio inaweza kuwa imani yake.
Inapotokea mtuhumiwa wa vitendo viovu, kwamba kihistoria mtu huyu aliwahi kukamata chuma akakuotea kuwa kazi anairudia, utajiskiaje?
Hiyo ni utangulizi, lakini sema kweli ndoto zote tungekuwa tunaziweka hadharani basi dunia hii isingeishika.
Naiomba mamlaka imchukulie hatua kali ili iwe fundisho, haiwezekani mnaamua tu kumsingizia Mungu tutajuaje kama mnasuka mpango dhidi ya Rais wetu.
Binafsi nasema hapana, enough is enough. This is too much, bado tunamhtaji sana Rais Magufuli, yeye kama miradi yake haiendi basi aiweke ktk mfumo mzuri alipe kodi basi.
Maneno anayoendelea kuyaongea yanatia hofu na lengo lake hasa ni nini,
Kuna mwingine amepewa ushauri kama huu huko bungeni , tusubiriLema ulimshauri kwa nia njema kabisa Mwendazake atubu maana umepokea maono toka kwa Muumba kwamba ataadhibiwa - akagoma....
🤣Magufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?
Mkongwe ni uzee au majukumu? 7 days bila kuingia jf si hali ya kawaidaMagufuli ataishi milele?
Lema ashitakiwe kwa kusema ndoto?