Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mheshiwa gwaji b akionyesha kipaji cha chake, na nchi ikataruki si utakuwa unapoteza pesa,Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Endeleza kuota ndoto alizokuwa anaota mungu wako aliekufaWanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
unamaanisha ni mpanga mpango?Karibu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta
Wewe unaumuhimu gani kwa taifa? Tuanzie hapaNa huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Amekufa sasa chongeni mwingine mumuite jina lake.unamaanisha ni mpanga mpango?
Hizo chuki zinakusaidia nini familia yako, tatizo la kulelewa na ma shemeji na mta nuna jiwe yupo kwenye fridge full stop.Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Ulisema "ATAKUFA. KAFA"Karibu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta
Umepona Covid19?akitua airport tu, moja kwa moja jela
Subiri vumbi litulie. Utaingia mtegoni utajuta sana.Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
Hana shida jinsi ww unafikiri ndg yang. Mbunge miaka kumi. Watu sijui mnajilinganishaje na hawa watu. Yule si mwenzio.
Na kwa wenye mitaji wanajua bila benki huwezi kuendelea kiuchumi.
Sasa ww ambae huna hata hadhi ya kukopeshwa kiberiti dukani kwa mangi jifananishe na Lema.

Wanafiki na wasumbufu na wapotezaji muda wa wananchi hii yote kwa maslahi yao . Mbowe na Lema hawa watu siwapendi hawana faida kwa hili taifa wao huaribu kile watu hufanyia kazi kuifanya wanaona wenzao wanakaa tu .Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania,