Lema: Narudi Tanzania

Kwa hiyo alikuwa anatishwa na JPM binafsi?

Huyo alienda huko kama fashion tu na kaona hakuna hata mwenye muda naye.

Hata Samia bado ni CCM na hii ni moja ya nukuu yake.


Ukileta uboya shaba iko palepale tena yeye hataki zaidi ya 3.

Mnaotegemea miujiza kwa Samia mnasikitisha.

CCM si ni ileile au mmesahau mara hii?
 
Sasa mheshiwa gwaji b akionyesha kipaji cha chake, na nchi ikataruki si utakuwa unapoteza pesa,
 
Pombe alichemkaga sana kuwa mbabe sana na kutokubali kukosolewa.
Kosa jingine ni kukataa ugonjwa kwamba haupo. Ulikuwa ni upumbavu wa hali ya juu sana ule. Tumsamehe JPM
 
Hata usiporudi. Kwani ulimshauri nani wakati ukikimbia ujinga wako? Si ulidanganywa kuwa kuna bata kule wakati ni msoto mtupu. Shame on you. Kesho utalisikia li Lissu nalo likisema narudi baada ya kuchokwa na mabwana zetu.
 
Lema alimwambia Magu "Mungu amesema uache kujifanya Mungu, lasivyo utakufa", lakin jamaa akawa na shingo ngumu kama pharaoh hakuacha kujifanya Mungu, mwisho wake yakatokea yaliyomtokea..
 
Canada wajinga Lema kakimbia madeni wanampa ukimbizi!!!!
 
Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.

Ndugu, acha ujinga. Awamu ya 5 ndiyo hiyo haipo...

Imeshaondoka na uovu wake. Walipanda dhambi, wameivuna mauti..

Walifanya ushirika na shetani wakasahau kuwa ibilisi shetani hajawahi kuwa na urafiki na binadamu. Yeye ni Mwongo na muuaji daima..

Sisikitiki wala kuhuzunika kwa kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli. Zaidi sana namfurahia Mungu wangu Yehova kwa kujibu kwa ukamilifu maombi yetu. Magufuli na wenzake wamevuna walichokipanda kwa miaka 5 na nusu...

Karibu sana Godbless Lema nyumbani. Topo kwenye msimu Wa nyakati Mpya na majira mapya kabisa...

Tazama ya kale yamepita, tumeanza maisha mapya kabisa...
 
Subiri vumbi litulie. Utaingia mtegoni utajuta sana.
 

So ukiwa mbunge miaka 10 ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23]... wewe utakua hujawahi kushika pesa so hizo pesa za ubunge unahisi watu wanatajirika [emoji23][emoji23]
 

So ukiwa mbunge miaka 10 ndio nini[emoji23][emoji23][emoji23]... wewe utakua hujawahi kushika pesa so hizo pesa za ubunge unahisi watu wanatajirika [emoji23][emoji23]
 
Wanafiki na wasumbufu na wapotezaji muda wa wananchi hii yote kwa maslahi yao . Mbowe na Lema hawa watu siwapendi hawana faida kwa hili taifa wao huaribu kile watu hufanyia kazi kuifanya wanaona wenzao wanakaa tu .
Hakuna mtu aliyekaa tu tokea mwanzo kila mtu kafanya yake hadi aliyekuwa raisi wetu wa awamu ya tano.

Hata ya sita atafanya yake.
Jamani imetosha acheni uvurugaji mnakera .
Nchi bila nyie itaenda vizuri tu .
Siwapendi CHADEMA .
nasina muda kujielezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…