Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MBUZI KALA MKEKA WAPAMBE MJIANDAE KUFA KWA NJAAA.Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Wewe una umuhimu gani hapa Tanzania?Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Tofauti yake ni siku 77 tu hivyo bado yupo sahihiKaribu nyumbani Bwashee! sala zako na Maono yako yametimia japo sio 2020 ila 2021 kitu kimevuta
Wewe unao umuhimu gani sasa zoba tu?Na huyo apeleke unafiki wake huko hana umuhimu kwa taifa hili
Masikini unaongea huko rohoni unajililia tu maana huu utawala mpya hauna tena tabia ya kufuga wanafiki na wachawi kama nyinyiakitua airport tu, moja kwa moja jela
Eeenh Heee,‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Haki ipi? Weww ndo mgawa haki ama?Wanafiki hawa na mwenzie Lissu wasifikirie tutasahau kejeli zao, utafika muda wao na wao watapata haki yao.
Kama ukirudi fanya na biashara halali na kulipa kodi yetu la sivyo baki hukohuko kwenu.Godbless Lema asema anafikiria kurudi nyumbani Tanzania
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ambaye alikimbilia ughaibuni kwa madai ya wasiwasi wa usalama wake mara baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020 anafikiria kurudi nchini Tanzania.
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Lema anatarajia kuona uongozi wa Rais Samia ukirekebisha na kutafuta maridhiano ya taifa zima.
‘’Nataka kurudi nyumbani hata leo, nyumbani ni nyumbani tu, wakati nakimbia nyumbani nilishuhudia uzoefu mbaya mimi na familia yangu’’, alisema
Lema ameeleza kuwa mabadiliko ya mifumo ya kiutawala ikiwemo viongozi watakaojali haki ni sura itakayorejesha imani ya kwamba sasa maisha yako salama.
‘’Nitarudi nyumbani mapema sana kuendelea na mapambano. Uwepo wetu huku hauna maana ya kwamba tumekuja kula bata, hakuna maisha yoyote, mtu anaweza akakimbia nyumbani kwao ambako amejijenga vizuri.’’alisisitiza
Hata hivyo Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ilitupilia mbali madai hayo ya upinzani na kusema hayo ni maigizo ya upinzani.
‘’Tanzania ni nchi inayoheshimu utawala wa sheria.’’alisema msemaji wa serikali Dokta Hassan Abbas.
Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo jijini Dar es salaam kuongoza awamu ya sita ya serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake John Pombe Magufuli.
https://t.co/4ZC5OwVwiq https://t.co/j2CDmIdCg9
Nyundo moja tu ya kichwa anafifiaMara paap jamaa kafufuka
[emoji106]Kama ukirudi fanya na biashara halali na kulipa kodi yetu la sivyo baki hukohuko kwenu.
Mstaarabu Rais wetu Mama Samia hana mawazo ya kijinga kama hayo. Na mwisho wa buku saba umewadia...akitua airport tu, moja kwa moja jela
Pumbavuuuuakitua airport tu, moja kwa moja jela
Wewe Fala roporopo aliyezika mbwa mpo nae huko NasarifixAsisahau kwenda kuenzi lile kaburi la mbwa wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!