Lema: Narudi Tanzania

Lema: Narudi Tanzania

Au hawa ndo walienda kummaliza mzee? Uchawi wa kizungu
 
Kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan namwomba awaombe watanzania wote waliokimbia nchi warudi na wahakikishiwe usalama ili tuje tujenge pamoja Taifa letu. Mama tunakuombea na tunaomba ufanye hivyo.

Umesema "tufutane machozi". Ni kweli maana kuna waliofiwa na walioumizwa. wote wafutane machozi tufungue ukurasa mpya. Tuliyafanya yasiyoendana na utamaduni wa Tanzania yakatuumiza sana!
 
Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Hana shida jinsi ww unafikiri ndg yang. Mbunge miaka kumi. Watu sijui mnajilinganishaje na hawa watu. Yule si mwenzio.

Na kwa wenye mitaji wanajua bila benki huwezi kuendelea kiuchumi.

Sasa ww ambae huna hata hadhi ya kukopeshwa kiberiti dukani kwa mangi jifananishe na Lema.
 
Asisahau madalali wa benki wanamsubiri kwa hamu!
Benk zimewekwa kukopesha Matajiri si Masikini kama wewe, mfumo wa kibenk ulianzia nchi zilizoendelea Amerika.
Hayo ni mawazo ya masikini mnywa pombe za maindi "dadii" unaye lala bila kunawa miguu.
 
Benk zimewekwa kukopesha Matajiri si Masikini kama wewe, mfumo wa kibenk ulianzia nchi zilizoendelea Amerika.
Hayo ni mawazo ya masikini mnywa pombe za maindi "dadii" unaye lala bila kunawa miguu.
Kweli aisee
 
Hii inanikumbusha maandiko Matakatifu kwenye biblia:

Herode alipokuwa anajiandaa kitoa amri ya kuua watoto wote wa kiume ambao umri wao ungekuwa ni ule ambao alijua ndio umri wa mtoto Yesu (Bwana Mwokozi Wetu), malaika alimjia Yusuph na kumwambia, 'mchukue mtoto Yesu na Maria, ukimbilie Musri'. Baada ya watoto kuchinjwa, Herode naye alikufa. Malaika akamjia tena Yusuph akamwambia, 'Yusuph mchukue mtoto Yesu na Maria, mrudi Betlehem maana Yule aliyekuwa anairaka Roho ya mtoto amekwishakufa'.

"Tuanze ukurasa mpya. Tuwe wamoja zaidi" - Maneno ya hekima ya Rais wetu Mama Samia.

Kwa sasa tudhamirie kuanza ukurasa mpya. Kuijenga Tanzania mpya yenye kuheshimu utu na maisha ya kila mtu. Yaani Tamzania ambayo kila mmoja atajiona ana haki nayo. Siyo kakikundi fulani ka watu.

Mungu wetu wewe ndiye chanzo cha hekima, mjalie hekima Rais wetu mpya, wala asiyumbishwe na shetani au mawakala wake waliopo Duniani.
 
Hana shida jinsi ww unafikiri ndg yang. Mbunge miaka kumi. Watu sijui mnajilinganishaje na hawa watu. Yule si mwenzio.

Na kwa wenye mitaji wanajua bila benki huwezi kuendelea kiuchumi.

Sasa ww ambae huna hata hadhi ya kukopeshwa kiberiti dukani kwa mangi jifananishe na Lema.
Tunakumbushana tu msije kutupitishia bakuli kama tulivyomtoa Mbowe segerea!
 
Benk zimewekwa kukopesha Matajiri si Masikini kama wewe, mfumo wa kibenk ulianzia nchi zilizoendelea Amerika.
Hayo ni mawazo ya masikini mnywa pombe za maindi "dadii" unaye lala bila kunawa miguu.
Hata Mbowe ni sisu maskini pamoja na Hayati Magufuli ndio tulimchangia tukamtoa Jela segerea!
 
Back
Top Bottom