Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Imagine lijitu lipo Ikulu linahangaika na mtu mdogo kabisa kwenye nchi hii kama Lema badala ya kuhangaika na masuala makubwa ya nchi kama bile ajira,uchumi,diplomasia za kimataifa,e.t.c!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So na wewe Ushabadilikika?Ndio miaka nane
Mandela mwenyewe alikuja kujificha bongo,na akatumia passport ya bongo,Swala sio kuogopa kufa,Swala hapa ni kulinda uhai wako Ili uendeleze mapambano mpaka mwisho,Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?
Yes nimekaa niko no Canada Canada fulani hivi hapo sio sana sababu nilienda mkubwaSo na wewe Ushabadilikika?
Mwizi wa fedha ya corona 70 bnSawa anatofauti na jizi la rambirambi?
Mandela aligundua kakosea hiyo approah ndio maana alirudi mbio Africa ya kusini awe sehemu ya mapambano ndani ya nchi ndio maana akina Museveni akina Kagame na akina Kabila wote walirudi nchini kwao kuwa part of suffering na struggle ndio maana hata Bob wine hatoki uganda .Hao huwezi linganisha na political cowards kama Tundu Lisu na Lema!!Mandela mwenyewe alikuja kujificha bongo,na akatumia passport ya bongo,Swala sio kuogopa kufa,Swala hapa ni kulinda uhai wako Ili uendeleze mapambano mpaka mwisho,
Unajua kifo wewe,acha kabisa utani
Mashetani makubwa nyie,mwafaka wenu ni kuua tu.Yaone kama yana laana maccmMandela aligundua kakosea hiyo approah ndio maana alirudi mbio Africa ya kusini awe sehemu ya mapambano ndani ya nchi ndio maana akina Museveni akina Kagame na akina Kabila wote walirudi nchini kwao kuwa part of suffering na struggle ndio maana hata Bob wine hatoki uganda .Hao huwezi linganisha na political cowards kama Tundu Lisu na Lema!!
Ulienda Canada sehemu gani,au ulikuwa unaishi Toronto we na Mwanri,Mzee Wa Pima hiyo we engineer.Yes nimekaa niko no Canada Canada fulani hivi hapo sio sana sababu nilienda mkubwa
Wanawake wengi kutoka africa wakifika huko hubadilika,kinachowapa kiburi sheria zinawalinda pili benefit wanazopewa na serikali,tumeshaona watu wengi wanakuwa homeless kwasababu ya wanawakeWale watoto wa lema siyo wadogo ..ni machali wakubwa kabisa na mke wake ni ngumu kubebwa yeye kazaliwa na kuishi Africa kabiru miaka yote mpk alipoondoka hivyo ni ngumu kuanza tabia mpya
GoodNdio miaka nane
Hao uliowataja hawajatishiwa kifo.Mandela aligundua kakosea hiyo approah ndio maana alirudi mbio Africa ya kusini awe sehemu ya mapambano ndani ya nchi ndio maana akina Museveni akina Kagame na akina Kabila wote walirudi nchini kwao kuwa part of suffering na struggle ndio maana hata Bob wine hatoki uganda .Hao huwezi linganisha na political cowards kama Tundu Lisu na Lema!!
Aya tutampa.
Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?
Ndio miaka nane
Hata sugu wamemweka kipolo tu mark my words...Ila kiukweli Lema na TL wana akili za kibinafsi mno.
Mbona Sugu kabaki hapa hatuoni hizo kashkash ambazo walituaminisha walitaka kufanyiwa na serikali.
Hapo Uganda tu bob wine bado yupo na anaendelea na maisha yake.
Hivi vijamaa vina akili nyepesi ya kwenda kuishi ulaya kwa msaada wa pesa za taasisi za mashoga bila kufikilia hatima ya familia zao.
uliibiwa mke?Ndio miaka nane