Lema ni noma anastahili tuzo

Lema ni noma anastahili tuzo

Imagine lijitu lipo Ikulu linahangaika na mtu mdogo kabisa kwenye nchi hii kama Lema badala ya kuhangaika na masuala makubwa ya nchi kama bile ajira,uchumi,diplomasia za kimataifa,e.t.c!
6789076.jpg
 
Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?
Mandela mwenyewe alikuja kujificha bongo,na akatumia passport ya bongo,Swala sio kuogopa kufa,Swala hapa ni kulinda uhai wako Ili uendeleze mapambano mpaka mwisho,
Unajua kifo wewe,acha kabisa utani
 
Mandela aligundua kakosea hiyo approah ndio maana alirudi mbio Africa ya kusini awe sehemu ya mapambano ndani ya nchi ndio maana akina Museveni akina Kagame na akina Kabila wote walirudi nchini kwao kuwa part of suffering na struggle ndio maana hata Bob wine hatoki uganda .Hao huwezi linganisha na political cowards kama Tundu Lisu na Lema!!
 
Mashetani makubwa nyie,mwafaka wenu ni kuua tu.Yaone kama yana laana maccm
 
Wale watoto wa lema siyo wadogo ..ni machali wakubwa kabisa na mke wake ni ngumu kubebwa yeye kazaliwa na kuishi Africa kabiru miaka yote mpk alipoondoka hivyo ni ngumu kuanza tabia mpya
Wanawake wengi kutoka africa wakifika huko hubadilika,kinachowapa kiburi sheria zinawalinda pili benefit wanazopewa na serikali,tumeshaona watu wengi wanakuwa homeless kwasababu ya wanawake
 
Mleta mada ndio mbinu hizo hizo jamaa alikua anazitumia kushughulikia magari ya wenzie??
 
Ila kiukweli Lema na TL wana akili za kibinafsi mno.

Mbona Sugu kabaki hapa hatuoni hizo kashkash ambazo walituaminisha walitaka kufanyiwa na serikali.

Hapo Uganda tu bob wine bado yupo na anaendelea na maisha yake.

Hivi vijamaa vina akili nyepesi ya kwenda kuishi ulaya kwa msaada wa pesa za taasisi za mashoga bila kufikilia hatima ya familia zao.
 
Mandela aligundua kakosea hiyo approah ndio maana alirudi mbio Africa ya kusini awe sehemu ya mapambano ndani ya nchi ndio maana akina Museveni akina Kagame na akina Kabila wote walirudi nchini kwao kuwa part of suffering na struggle ndio maana hata Bob wine hatoki uganda .Hao huwezi linganisha na political cowards kama Tundu Lisu na Lema!!
Hao uliowataja hawajatishiwa kifo.

Lema mmeshamtishia kifo mmemfunga kwa kutokuwa n ahoja zozote.

Lissu mmempiga risasi na kila mwenye utu wake alijaribu kutakakumshaidia kwa hapo Tanzania mkapiga marufuku (kumuombea' pray for Lissu') mlimfukuza ubunge na kumuibia stahiki zake zote, yaani unyama mliomfanyia mtamlipa tu.

Yaani hii korona nataka iendleee kwa kuwapiga mmoja mmoja kuaznia ngaaazi za juu na kila aliyeshiriki na kufurahia hayo ukiwepo wewe.
 
Mwamba wapi anahubiri No fear halafu anatoroka nchi akiwa kavaa baibui eti naogopa usalama wangu hiyo no fear alikuwa akimhubiria nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila kiukweli Lema na TL wana akili za kibinafsi mno.

Mbona Sugu kabaki hapa hatuoni hizo kashkash ambazo walituaminisha walitaka kufanyiwa na serikali.

Hapo Uganda tu bob wine bado yupo na anaendelea na maisha yake.

Hivi vijamaa vina akili nyepesi ya kwenda kuishi ulaya kwa msaada wa pesa za taasisi za mashoga bila kufikilia hatima ya familia zao.
Hata sugu wamemweka kipolo tu mark my words...
 
yani mtu mzima unakaa chini na kuandika utopolo namna hii,
AU ndo nyie wageni toka fb?
 
Sio vitu vya kufurahia hata kidogo
 
Back
Top Bottom