PreGE2025 Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Shoga huyo

Ailazimishe watu waishi atakavyo…. Alipokua mwizi mbona waliojua walimwacha
 
Tafuteni namna ya kuwashawishi watu sio mnakuwa na mood swings kama mnamimba.

Kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani. Miaka ya nyuma Arusha tulikuwa tayari kufa kwa ajili ya chadema leo hii hayo mapenzi yamepotea....jitathminini
 

mtu mwenye utimamu wa akili hawezi tekwa na Simba na Yanga. Waafrika ni mambumbumbu sana. wanaacha mambo ya msingi wanabaki kwenye uzwazwa !
 
Anaumwa huyu
 
Tafuteni namna ya kuwashawishi watu sio mnakuwa na mood swings kama mnamimba.

Kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani. Miaka ya nyuma Arusha tulikuwa tayari kufa kwa ajili ya chadema leo hii hayo mapenzi yamepotea....jitathminini
Exactly
 
Hapo ameenda mbali sana.
Hayo Mabadiliko wanayopigania sio wote wanayaona ni ya Muhimu kwao.
Binadamu ana Uhuru wa kuchagua anachokitaka!
Tusilazimishane wote tuwe wanaharakati.
Hizo timu zimeanzishwa kabla ya CCM na CDM,lema hawezi kuzitakia kifo.
 
Nasubiri matusi ya huyu jamaa. Chadema ya sasa wanatukana balaa
Ni wapumbavu. Wamekalia kutukana badala ya kuelezea sera na mikakati thabiti ya chama.

Unahamasisha watu kuzuia uchaguzi! Hivi Duniani ni nchi gani ilishawahi kuzuia uchaguzi? na ikafanikiwa!

Niliacha kuwafuatilia wanasiasa tangu dokta Slaa alipoasi UKAWA akaenda kula donge nono la sisiemu pamoja na kuhongwa ubalozi . Wanasiasa wote ni walewale tu hata hao wakiingia madarakani hawatobadili chochote.
 
Mfanyakazi mwenyewe ndio mimi hapa .
Tutakutana ofisini ndugu yangu haina shida 😌 . Nashukuru kujua ID yako
 
Stupid fish

Mmekosa hoja sasa mnaanza kuwasha

Who told you wewe ni smart?
 
Lema aachane ama ajitahidi sana kutokubeza mambo ya soka, hasa hizi team mbili za simba na yanga. Mpira ni hisia na sidhani wanaopenda mpira ni kikwazo cha siasa. Aina ya siasa za hapa nchini zimeumiza sana wapinzani, hivyo kwenye soka wakawa salama. Ni sehemu inayobeba hisia zao, na wakabaki salama kuliko kwenye siasa za upinzani.

Lemw anatakiwa adhibiti hisia zakez maana hazungumzii na watu wanaopima hoja kimantiki. Anatakiwa atazame hadhira yake anayoongea nayo, na sio kuweka mbele hisia zake.
 
Tafuteni namna ya kuwashawishi watu sio mnakuwa na mood swings kama mnamimba.

Kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani. Miaka ya nyuma Arusha tulikuwa tayari kufa kwa ajili ya chadema leo hii hayo mapenzi yamepotea....jitathminini
Hii haiondoi ukweli Simba, yanga, CCM na mwenge ni majanga ya taifa
 
Huyu naye kaishiwa hoja.Hayo mabadiliko anayoyaona watanzania hawaangaiki nayo nikwasababu yeye hayuko kwenye madaraka yakisiasa wakiwa wengine anaona hawafai.Sio Tz pekee ndio kwenye mashabiki wa mpira na uko kote wananchi wanaishi maisha yao ya furaha na maendeleo wanafanya.Sasa makasiriko yake hasiyalete kwenye furaha za watu,kwasababu sio watu wote wanataka hayo mabadiliiko anayoyataka yeye.Aje na hoja konki zitakazoshinda mioyo ya watu,watu wataziunga mkono kama hana atulie watu waburudike.
 
Huyu siasa zimemshinda

Siku akiwq raisi hajui kuwa atatakiwa kuimarisha sekta ya michezo yeye anawaza kuhomoa

Kama ccm wamemzidi akili na power akazitafute sio kuwa mjinga kiasi hiki
Yuko sawa haiwezekani asubuhi hadi usiku mada ni Yanga na Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…