Hayo ni maoni tu kama yalivyo yangu.Mbona malalamiko yalikuwa ni mengi ya kwamba aliua upinzani kupitia nguvu na wala si demokrasia!, vilevile amekuwa akishutumiwa juu ya matukio ya upotevu wa wanasiasa wa mlengo pinzani!, wewe wafikiria nini..?
Upinzani umefubaa wapi bablai? Kama upunzani umefubaa kwanini ccm inatumia nguvu kubwa kuwanyamazisha?Magufuli alibadilisha siasa za Tanzania. Tutake tusitake.
Alifanikiwa kubadilisha mitazamo ya watu wengi saana. Na kufubaa kwa upinzani ni matokeo ya Kukubalika kwa Magufuli.
Huu ni mtizamo wangu.....
vipi kama yanaukweli ndani yake..?Hayo ni maoni tu kama yalivyo yangu.
Upinzani umefubaa.....Upinzani umefubaa wapi bablai? Kama upunzani umefubaa kwanini ccm inatumia nguvu kubwa kuwanyamazisha?
Najua unajua ccm haina appeal yoyote kwa raia na ndio maana wanajaribu kutumia mbinu zote chafu kunyamazisha upinzani. Hizo kampeni za mama kila kitu mama ni zakumfanya aonekane anakubalika lakini in reality hamna tena mvuto. Wana force tu.
Nakushangaa ukisema upinzani umefubaa. Ungetakiwa kusema upinzani umekuwa repressed.
Mambo ya siasa ni subjective muda mwingi....vipi kama yanaukweli ndani yake..?
Acha unazi mzee.Upinzani umefubaa.....
Binafsi naona mnajicha nyuma ya police brutality na CCM tu.
Miaka ya 2010-2016 CCM ilikuwepo na police ilikuwepo. Viwanja vilijaa mashabiki wa upinzani waliokuwa tayari kufia chama. Sitaki kuamini police waliowaua kina Mwangosi lakini bado watu wakaingia barabarani ndiyo hii polisi ya Leo.
Angalia mikutano ya Lema ya Arusha ya enzi zile na yasasa anayosimama juu ya meza anajiongelesha mwenyewe tu.
Mfanyakazi mwenyewe ndio mimi hapa .
Tutakutana ofisini ndugu yangu haina shida 😌 . Nashukuru kujua ID
Kama ni shabiki kindakindaki basi kazi yenyewe aliifanya shingo upande na kile tusi la k-nyok- aliwapiga kimoyomoyo kwa kila dakika ya mechi yaani mara 90Ukweli mchungu Ila hizi timu zinawafanya Watanzania kuzidi kuwa wajinga
Hakuna tofauti ya mtanzania mwenye degree na ambaye hajui kusoma
Kuna siku nilikuwa nabishana jamaa mmoja namwambia hizi timu CCM anazitumia kutawala bila usumbufu!!
90% ya mashabiki wa hizi timu ni wajinga
Juzi tena Kuna mfanyakazi wangu anaomba ruhusa kwa mkuu wake eti akaangalie mechi ya Simba na almasry nilicheka Sana yaani uondoke kazini muda wa kazi kisa kwenda kwenye mpira?
Huu ukweli Lema kaongea hizi timu zingefutika au kuacha kubebwa soka la Tanzania lingeenda mbali Sana!!
Uchawa wote uanzia kwenye hizi timu
Alianza na bodabodaMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Inasikitisha sanamtu mwenye utimamu wa akili hawezi tekwa na Simba na Yanga. Waafrika ni mambumbumbu sana. wanaacha mambo ya msingi wanabaki kwenye uzwazwa !
Mbona hapa sasa shoga unaonekana ni wewe.Shoga huyo
Ailazimishe watu waishi atakavyo…. Alipokua mwizi mbona waliojua walimwacha
Kwa mara ya kwanza nakusapoti Bichwa wangu.Hauwezi ukashabikia mpira halafu ukawa na akili timamu.
😂😂Kwa mara ya kwanza nakusapoti Bichwa wangu.
Huyu mwizi wa magari naye akamatwe haraka, pumbavu sana huyu.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Uko sahihi kabisa kuanza kulalamikia sababu ni mpira ndo maana watu hawataki mabadiliko ni upumbavu na kukubali wamefeli kushawishi watu. huko misri kuna team kali sana za mpira kama zamalek lakin watu wakiamua kukiwasha wanakiwasha.Nchi zingine nyingi tu kama uingereza watu wana wazim na soka ila wakiamua kuingia mtaani wanaingia.Lazima akina Lema wakubali watu bado hawana imani nao so wanachagua kuishi kwa amani kuliko kuwa nyuma ya wachumia tumbo.Tafuteni namna ya kuwashawishi watu sio mnakuwa na mood swings kama mnamimba.
Kulala kwa hadhira ni uzembe wa fanani. Miaka ya nyuma Arusha tulikuwa tayari kufa kwa ajili ya chadema leo hii hayo mapenzi yamepotea....jitathminini
Haw watu wa UPINZANI wapo katika makundi makuu matanoMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025