Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Inasikitisha sanaKila sehemu hapa inchin watu wanajadili Simba na yangq kama mazuzu huku wanasiasa wakifilisi inchi refer CAG report
Inasikitisha sanaKila sehemu hapa inchin watu wanajadili Simba na yangq kama mazuzu huku wanasiasa wakifilisi inchi refer CAG report
Ccm hamna uwezo tena wa box la kura, na hamtakaa muwe na uwezo nalo tena.Atajibiwa kwa lugha ngumu kwenye sanduku la kura
Kuna watu hawaaminiLema ni nabii
Kwa hiyo Chadema wakipata nchi watazifuta simba na yanga kama huo ndiyo msimamo wa chama chenu mmeishiwa yaani BUREE KABISA MTAANZA KUFUTIKA NYINYIMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
Lema na wenzake wanaposhindwa hesabu ndogo ndogo katika siasa za kujumlisha na kutoa,wanataka hizo lawama tuwatupie Simba na.Yanga?Lema sasa anaingilia vitu vya watu ,sasa unavyosema mpira ufutwe je ajira hizo zilizotokana na mpira zitasaidiwa na Chadema? Kuna wengin nao siasa hawazipendi wanaomba vyama vyote vifutiliwe mbali.
Tuheshimu haki za watu ,kila mtu ana haki ya kupenda atakacho ili mradi asivunje sheria.
Hii amechemka.Lema anatabia ya kuwasilisha hoja zake kwa kutumia kauli tata na Kali zaidi..lkn ukifikiria kwa umakini...yupo sahihi..tatizo ni kwamba watanzania...akili zao ni ndogo.
(Sio kosa lao)..kuelewa ujumbe anaotoa Lema.
Hii nchi hatuna watu, tuna mazombi yanayotembea.Anachokisema ni kweli,japo wengi comments naona wanampinga,hizi timu zinatumika mara nyingi kubadilisha upepo wa mijadala mingi ya msingi............unatoka mfano kimara unaacha mjadala Yanga, Simba......unafika Riverside....unakatisha mabibo hadi Karume pale kijiweni,mijadala ni hiyo hiyo tu...... Mtu huyo huyo anatoka kwenye mabishano akiugua au kwenda hospital unakuta anaonja joto la jiwe na kuaanza kulia lia........kwa hili Lema yuko sahihi
Wafanye kazi yao hao wanasiasa huwezi kumlaumu mwananchi mwanasiasa afanye kazi yakeKila sehemu hapa inchin watu wanajadili Simba na yangq kama mazuzu huku wanasiasa wakifilisi inchi refer CAG report
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480
ujinga ujinga ujinga umetusumbua kwanzia kitambo na bado upo....lema anajaribu kuchanua watu wanaweka nguvu kubwa kwenye kitu wasichoweza badilisha na hakina matokeo ya moja kwa moja na maisha ya kila siku ila siasa ndo maisha yenyewe mifumo yote tunayoionaHapo ameenda mbali sana.
Hayo Mabadiliko wanayopigania sio wote wanayaona ni ya Muhimu kwao.
Binadamu ana Uhuru wa kuchagua anachokitaka!
Tusilazimishane wote tuwe wanaharakati.
Hizo timu zimeanzishwa kabla ya CCM na CDM,lema hawezi kuzitakia kifo.
Mimi nilishaona tokea mwanzo Simba na Yanga ni upumbavu tu!Mashabiki wa mpira huwa wako kama MANYUMBU.
Hii simba na Yanga imeleta UZEZETA katika TAIFA.
Naagiza zifutwe mara moja.
Mtu yuko tayari kubishania Simba na Yanga huku hana uhakika wa maisha yake!ujinga ujinga ujinga umetusumbua kwanzia kitambo na bado upo....lema anajaribu kuchanua watu wanaweka nguvu kubwa kwenye kitu wasichoweza badilisha na hakina matokeo ya moja kwa moja na maisha ya kila siku ila siasa ndo maisha yenyewe mifumo yote tunayoiona
Kwa akili za namna hii kwakweli yuko sahihi.Huyu siasa zimemshinda
Siku akiwq raisi hajui kuwa atatakiwa kuimarisha sekta ya michezo yeye anawaza kuhomoa
Kama ccm wamemzidi akili na power akazitafute sio kuwa mjinga kiasi hiki