Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,518
- 20,492
Hili jamaa ni lipumbavu! Yaani tulazimishwe kwenda kuunga mkono mambo ya kipumbavu? Ni kipi chenye tija ambacho wapinzani wanakipambania? Si wanapambania matumbo yao tu?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameendelea kusema kiwa wakazi wa Dar es Salaam wamekuwa nyuma katika harakati za kudai mabadiliko na badala yake wanayapa kipaumbele mambo yasiyokuwa na maana ikiwemo ushabiki wa mpira wa miguu hususan kwa timu za Simba na Yanga.
View attachment 3307480