Lema: Tusiilaumu Serikali, tuwe watu wa amani

Wote wenye akili wataondoka huko
 
Pathetic
 
Huyu na manara kuna utofauti au ngozi tu?
 
Lema Political lecturing is insane 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Hizi mbinu zenu zimeshafeli chawa tuko 2026 nyie bado mpo enzi za Mrema 1995.

Siku hizi hatutumii nguvu , tukishaanza kuona mtu wa CHADEMA anapigiwa matarumbeta na pambio kutoka kwa machawa wa CCM basi tunajua huyu tayari amefika bei.

Tuliona hata Mbowe alipoita watu eti anagombea 2024 ghafla wakaja na mbinu za kiccm eti walimfuata kwake kumuomba agombee na TBCCM wakaenda kucover ile press yake..kapigwa kwenyw uchaguzi kapotea mahakamani hafiki ila kwenye shughuli za Lumumba yupo.

Ni ajabu shughuli za CHADEMA na Mbowe kabla ya 2024 hazikuwahi kupigiwa chapuo ila tunaoona mbali tulivyoona tulisema humu ndani Mbowe ameshazama na kweli ikawa.

Poleni machawa watanzania kwa sasa wameamka

.
 
Lema wala ajakosea kutoa maoni yake na mtazamo wake hii ndiyo Demokrasia ambayo ata CHADEMA tunapigania kila kukicha. Ingawa najua atayaoga matusi kutoka kwa makamanda wapenda NGINJA NGIJA
Hata ccccm nao wanahubiri demokrasia na mzee ndugai nae akaamini aisee amekuja kustuka ashaliwa kichwa
 
Mbona anachelewa kungatuka maneno mengi mno kama kahaba la bar.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Tusiilaumu serikali maana yake ni ccm
huyu pimbi ali boost nyagi nini?!

Kuna kitu hakipo kwa lema kuna usaliti ndani yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…