Lema: Tusiilaumu Serikali, tuwe watu wa amani

😂😂😂
 
Lema wala ajakosea kutoa maoni yake na mtazamo wake hii ndiyo Demokrasia ambayo ata CHADEMA tunapigania kila kukicha. Ingawa najua atayaoga matusi kutoka kwa makamanda wapenda NGINJA NGIJA
Tatizo sio kuongea shida ni kutaka kutuaminisha kama yeye hajanunulika
 
CDM mlifanya ujinga sana kuwapa chama wanaharakati mange na sarungi. Huo mtego hamtoki leo wala kesho. Kama mnaakili jitengeni nao sasa kwa huu upepo wa Lema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…