Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda Nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa

soma pia:
 
Si kapata faida zaidi kenda ccm?
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.

Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.

Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.

Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.

Hii ni total fairule plan.
 
Aiseeee huyu ni Lema au copy yake!
Usiwaamini wanasiasa, siku zote wao wanaangalia maslahi ya matumbo yao ya kudumu.

Haya mnaosemaga wachaga hivi leo huyo hapo Lema anamsaliti mtu anayemuita kaka yake, Mchaga mwenzake tena ni mmachame mwenzake.

Hakuna kitu kama hiki usidanganywe, charity beggins at home.

Nyalandu aliondoka ccm kujiunga Chadema kwa ajili ya Lisu.
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Msigwa alikosea kwenda CCM, unakimbiaje RUSHWA mtoni unaenda kwenye Bahari ya RUSHWA?!

Umri +familia ya kuifeed na kuiachia urithi.

Aligundua uovu wa CCM anaoupinga pia upo CDM na hata ikitokea wakipata nafasi ya kuongoza nchi shida itakuwa palepale, akisema afanane kitabia na wenzie ndani ya CDM hata tengeneza hela ya kutosha, ameamua kuwafuata CCM ili ajipigie hela tu za kutosha.
 
Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.

Why now?
 
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.

Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.

Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.

Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.

Hii ni total fairule plan.
We we ndio ubongo wa lema?
 
Kuna ushirikiano unaoendelea kati ya Msigwa, Lissu, Lema na kambi yote ya Lissu.

Mimi ni mmoja wa wanaoamini katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu.

Uchaguzi wa CHADEMA ni kuhusu maslahi ya kiuchmi kwa pande mbili japo sio vibaya ila kinachosikitisha ni kambi ya Lissu kutaka waachiwe chama bila mchakato wa kidemokrasia kufuatwa.

Le.ma ni mtu wa maslahi binafsi daima sio mtu wa kutetea wanyonge.

Kwa sasa CHADEMA ipo katika civil war ,, upande upi utashinda tusubiri tuine

Baada ya uchaguzi ni sahihi Mbowe kuwashughulikia wote waliomkashifu.
 
Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.

Why now?
Poor timing. Hata mimi sikuona sababu ya msigwa kuhamia CCM muda huu.
Anyway, ikitokea Lissu akashinda, Msigwa atarudi Chadema. Hatakuwa mwanasiasa wa Kwanza kuhama na kurudi tena alikotoka. .
I wish them the best
 
Back
Top Bottom