Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.

Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.

Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.

Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.

Hii ni total fairule plan.
Tangu lini ukweli umekuwa uhuni?

Tafafhari mkuu, shika adabu yako
 
Chama sio lazima kiwe na wanachama mamilioni. Vyama vikubwa kama Conservative cha UK wanachama wake hawafiki hata milioni.

Kinachotakiwa wakati wa uchaguzi vyama vinauza sera na wananchi bila kujali vyama vyao wanachagua chama chenye sera nzuri.

Hakafu nchi hii watu hawana uwezo wa kudadavua mambo hata kura wengi hawapigi inawezekana hata wewe huu uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa hukupiga kura.

CHADEMA itabakia kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi wakina Lema watafutika soon watamjoin Maria kwenye mitandao.
Kwahiyo akina Mtobi, boni, M³, yule mhehe Nyerere ndio watasimama kuuza sera za CHADEMA kwa wananchi?

Yule mwingine Kigaila na Mrema hawajui hata kuongea kwenye majukwaa ila ndio wapo mbele kuwafanyia figisu akina Lema ili waondoke chamani.

Wacha inyeshe tuone panapovuja.
 
Si kapata faida zaidi kenda ccm?
Hayuko ccm kwa kupenda. Msigwa ni kama Dr. Slaa. Mbowe akishindwa uchaguzi, Msigwa atatupa kadi ya ccm na atadai hana chama ila anakuwa chadema kimya kimya
 
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.

Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.

Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.

Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.

Hii ni total fairule plan.
Mbowe ataipasua Chadema
 
Ayatollah kaguta nkurunzinza mbowe utazitapika pesa za abdul 😀😀😀😀
 
Kaondoka Lowassa,Dr Slaa,Dr Mashinji.....CDM ipo imara itakuwa Lema mwizi wa magari.
GfuY-ekXQAAK7pI.jpeg

Ndiko anakoelekea kupuuzwa na Wananchi.
 
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.

Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.

Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.

Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.

Hii ni total fairule plan.
Alikuambia hivyo au ni utabiri wako au ni Ramli au Kuna watu alimwambia nao wakakuambia hivyo ?
 
Alikuambia hivyo au ni utabiri wako au ni Ramli au Kuna watu alimwambia nao wakakuambia hivyo ?
Mimi siyo mpiga kura, ila naona wazi
Mbowe aliwekeza kwa wapiga kura, atashinda saa mbili asubuhi tu.
 
Back
Top Bottom