Kuna ushirikiano unaoendelea kati ya Msigwa, Lissu, Lema na kambi yote ya Lissu.
Mimi ni mmoja wa wanaoamini katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu.
Uchaguzi wa CHADEMA ni kuhusu maslahi ya kiuchmi kwa pande mbili japo sio vibaya ila kinachosikitisha ni kambi ya Lissu kutaka waachiwe chama bila mchakato wa kidemokrasia kufuatwa.
Le.ma ni mtu wa maslahi binafsi daima sio mtu wa kutetea wanyonge.
Kwa sasa CHADEMA ipo katika civil war ,, upande upi utashinda tusubiri tuine
Baada ya uchaguzi ni sahihi Mbowe kuwashughulikia wote waliomkashifu.