The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Si kapata faida zaidi kenda ccm?Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa
Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.Si kapata faida zaidi kenda ccm?
Hasira hasara, saa hizi angeungana na team yake ya Lisu kumpa nguvu.Msigwa alikosea kwenda CCM.
Aiseeee huyu ni Lema au copy yake!Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa
View attachment 3201547
Aking'ang'ania kinaenda kumfia.Mbowe ana sababu za msingi kutowaachia chama wahuni na wasaliti kwa wakati huu.
Na ndiyo plan ya CCMAking'ang'ania kinaenda kumfia.
Usiwaamini wanasiasa, siku zote wao wanaangalia maslahi ya matumbo yao ya kudumu.Aiseeee huyu ni Lema au copy yake!
Wewe si mpiga ramli wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho.Aking'ang'ania kinaenda kumfia.
Msigwa alikosea kwenda CCM, unakimbiaje RUSHWA mtoni unaenda kwenye Bahari ya RUSHWA?!
Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.Umri +familia ya kuifeed na kuiachia urithi.
Aligundua uovu wa CCM anaoupinga pia upo CDM na hata ikitokea wakipata nafasi ya kuongoza nchi shida itakuwa palepale, akisema afanane kitabia na wenzie ndani ya CDM hata tengeneza hela ya kutosha, ameamua kuwafuata CCM ili ajipigie hela tu za kutosha.
We we ndio ubongo wa lema?Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.
Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.
Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.
Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.
Hii ni total fairule plan.
Tutakuwa na uhalali gani wa kuikemea CCM kwenye RUSHWA wakati CHADEMA pia RUSHWA imetapakaa.Wewe si mpiga ramli wa kwanza na wala hautakuwa wa mwisho.
MnajidanganyqAking'ang'ania kinaenda kumfia.
TAkukuru kazi yao niniTutakuwa na uhalali gani wa kuikemea CCM kwenye RUSHWA wakati CHADEMA pia RUSHWA imetapakaa.
Wananchi watakuwa hawatuelewi na ndio utakuwa mwisho.
Kuna ushirikiano unaoendelea kati ya Msigwa, Lissu, Lema na kambi yote ya Lissu.Lema anachanga karata zake vibaya, anadhani Watanzania ni wajinga.
Mbowe akimaliza uchaguzi atawashughurikia wahuni wote.
Lema hagombei ubunge Arusha si kwamba hataki pale kuna Makonda na Mbowe anamsubili amfunze adabu.
Sasa karata ya Lema ni kaamuwa kujilipuwa kwa Lisu apate Uenyekiti ili yeye awe katibu mkuu.
Hii ni total fairule plan.
Poor timing. Hata mimi sikuona sababu ya msigwa kuhamia CCM muda huu.Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.
Why now?
Lema kwa kweli leo kamwaga mboga.Poor timing. Hata mimi sikuona sababu ya msigwa kuhamia CCM muda huu.
Anyway, ikitokea Lissu akashinda, Msigwa atarudi Chadema. Hatakuwa mwanasiasa wa Kwanza kuhama na kurudi tena alikotoka. .
I wish them the best