Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe dada acha porojo ujue unaongea na waume zako humu, husifikiri na sisi hatutafakari !!!
 
Fwatilia trend yote ya wakimbizi walioko CDM utagundua kitu…. Lema inasemekana miongoni mwa masharti ya Assylum status yake na faida zinazoangukia kwayo ni kutokua katika active politics!!

Na huu uchaguzi wa CHADEMA ndo nimegundua hawa akina Lissu ni wahuni.
 
Mbowe namkubali ila kwa zamu hii Lisu saa yake imefika kuongoza chama
 
Pia usisahau ushirikiano uliopo kati ya sultan +sa100+abdul+wenje
 
Kosa lipo hapo. Kushughulikiana. Na huo ndio ujambazi wenyewe. Unamshughulikiaje mtu kwa sababu tu kasema. Mkanyr au mahitaji.
 
Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.

Why now?

kipindi cha JPM, CDM ilikuwa inaoperate kwenye mode nyingine, hiyo mode ilikuwa against JPM na Msigwa akaona labda hii ndio CDM yenyewe sasa baadala ya kuteleza kwa Lowassa na kwenda nje ya principles.

CDM imeundwa kuoperate kulingana na nini mabwana wanataka, yote hufanyika kwa kuangalia maslahi ya hao mabwana.
 
Kipindi akiwa na rasta alikuwa NCCR mageuzi kama sijakosea
 
Mbowe kaamua kuwasaliti Wananchi na kuwa Chawa wa watawala.

LISSU na HECHE wajumbe shikilieni napo hapo.

Mbowe sio msaliti, anatetea maslahi ya chama kwa maslahi ya wenye chama.

Lissu na wenzie ni wavamizi wasiojua malengo ya chama na ukiona Lissu kashinda ujue iko staged kwa maslahi fulani fulani na baadaye wanaweza kumueliminate au baada ya uchaguzi watamuengua kwa namna fulani.

CDM sio chama cha siasa, bali ni bargaining chip ya wahuni pale maslahi yao yanapochezewa.
 
Hasira hasara, saa hizi angeungana na team yake ya Lisu kumpa nguvu.

Mbowe ana sababu za msingi kutowaachia chama wahuni na wasaliti kwa wakati huu.
Hizi mentality ndio walizo nazo CCM kwamba wana sababu za msingi kuto waachia nchi “wahuni na wasaliti”

Nchi hii mahali popote ukigusa maslahi ya aliyeko juu utaitwa majina yote mabaya
 
Lema kwa kweli leo kamwaga mboga.
Lema kaifafanua vizuri sana ile hoja "uropokaji" uropokaji sio kitu kibaya kama uropokaji huo ni ukweli na uwazi.

Wananchi wa Tanzania wamezoea kufichwa fichwa huku Nchi yao ikiuzwa na wao wamewekwa gizani Wananchi wanataka waropokaji ili wajue what's going on...

Kuropoka uongo ndio noma.
 
Atawashughulikia akiwa hana cheo?.
Wapambe mnachekesha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…