Pre GE2025 Lema: Uchaguzi wa Nyasa ulikuwa mbaya kuliko wa Tamisemi, Msigwa kaonewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..
kusema kina lissu wahunj,wewe ni muhuni zaidi
 
Kwani Msigwa si alishaenda CCM kwanini aongezewe tena au huko CCM hana raha anataka huruma ya kurudi?
 
Kama ni pesa Magufuli alitaka kumnunua kwa mabilioni halafu angepewa cheo na hata ubunge na uwaziri lakini msigwa alikataa.

Why now?
Kabisa mkuu tunakumbuka kuwa pole pole hadi alienda kumtoa gerezani na bado aligoma.
Msigwa mpaka anahama chadema ukimsikiliza lema unagundua aliona hakuna tofauti ya ccm na chadema ya sasa ni bora aende ccm walau akale mema tu kuliko kupigania kitu ambacho hakipo.
 
Lema kasimamia ukweli haja angalia ukabila.

Mbowe ni mhuni anaetumika na ccm yaama abdul
 
Upinzani una sarakasi nyingi sana, Utawala wa nchi hii mtausikia tu. Madafada.
 
Leo Lisu na Lema wamekuwa wahuni?

Kweli machadema yamechanganyikiwa

Ndio maana ccm inawachezea tu kama midoli
 
Mshagawa sana Rushwa hadi mnaamini Mbowe atashinda sio!?

Mbowe hata akishinda hawezi ipeleka CDM mbele tena watu waliomzunguka ni walamba viatu hawana ushawishi kwa wananchi hawawezi kukiuza chama tena.
 
Leo Lisu na Lema wamekuwa wahuni?

Kweli machadema yamechanganyikiwa

Ndio maana ccm inawachezea tu kama midoli
Ikituchezea wewe kinakuuma nini? Hata nyie Abduli anawachezea kama wanasesere.
 
Mshagawa sana Rushwa hadi mnaamini Mbowe atashinda sio!?

Mbowe hata akishinda hawezi ipeleka CDM mbele tena watu waliomzunguka ni walamba viatu hawana ushawishi kwa wananchi hawawezi kukiuza chama tena.
Chama sio lazima kiwe na wanachama mamilioni. Vyama vikubwa kama Conservative cha UK wanachama wake hawafiki hata milioni.

Kinachotakiwa wakati wa uchaguzi vyama vinauza sera na wananchi bila kujali vyama vyao wanachagua chama chenye sera nzuri.


Hakafu nchi hii watu hawana uwezo wa kudadavua mambo hata kura wengi hawapigi inawezekana hata wewe huu uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa hukupiga kura.

CHADEMA itabakia kama ilivyokuwa kabla ya uchaguzi wakina Lema watafutika soon watamjoin Maria kwenye mitandao.
 
Kumbe unajua
 
Watu ni wa ajabu sana, huyu Lema naye ni walewale tu..hivi hawa CHADEMA wameingiliwa na mapepo ama??Belzebuli yule wa kina biblia ndo kaingia..manake kila mtu analalamiki na mbaya zaidi hawasemibwanamlalamikia nani??Sasa mambo ya uchaguzi wa Nyasa na huu wapi ni wapi...haya malamlamiko lengo lake ni nini???
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya kaskazini CHADEMA Godbless Lema amesema Uchaguzi wa kanda Nyasa ulikuwa mbaya zaidi kuliko wa TAMISEMI kwani Peter Msigwa alionewa

View attachment 3201547
soma pia:
Msema ukweli namba 2 kaingia ulingoni. Kudos Mh Lema, hujawahi nyamazia ujinga ujinga. Mbowe alidanganywaje jamani? Ni lipi hilo lililonfanya akengeuke?? Struggle yote ile leo kakipeleka chama huku?!!
 
Ninafurahishwa sana na hii vita ya wenyewe kwa wenyewe ndani ya CHADEMA. Wapasuane tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…